Habari za siku wana JF?
Leo asubuhi tulikuwa tunaangalia kipindi cha 'Tuongee Asubuhi' kinachorushwa Star TV, mada ilikuwa MSWADA WA SHERIA YA KUTUNGA KATIBA MPYA. Mojawapo ya wageni alikuwa...
Katika kuusoma ule muswada wa kupitiwa upya kwa katiba, yapo maneno fulani nimekutana nayo, naomba mnisaidie kwa wanaoelewa hii lugha.
(2) In the implementation of subsection(1 ),the Commission...
Wadau naomba kuuliza na mwenye majibu sahihi wanipe hivi huu mchakato wa katiba mpya ni wa Tanzania wa mikoa mitatu tu?Dar Es Salaam, Dodoma na Zanzibar????
Siku walizoweka ni sahihi kwa jambo...
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa inayoongozwa na Kamati ya Hesabu za Serikali Kuu na ile ya Mashirika ya Umma, zimeibua ufisadi wa kutisha ulioligeuza taifa kuwa shamba la bibi...
Tangu kuzinduliwa kwa bunge hili la kumi wananchi wengi wamekuwa wakionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wake. Chazo cha kutokuwa na imani na bunge hilo hasa kinatokana na hisia zilizojengeka...
Wakenya wanne wanaodai waliteswa na utawala wa kikoloni wa Uingereza katika jitihada zake za kukandamiza harakati za kundi la Mau Mau,wamefungua kesi jijini London.
Kundi hilo linalodai fidia...
Yale mambo ya zomeazomea yaliyowakumba makada wa CCM na UDP,Prince Bagenda na John Momose Cheyo pale katika Ukumbi wa Nkrumah-UDSM,jana yaliwakumba Makada wawili wa CCM:Jaji Joseph Sinde Warioba...
TANZANIA tumeanza kushindanisha watu kwenye kugombea urais tokea mwaka 1995. Kwa lugha nyingine ni katika chaguzi kuu nne (1995, 2000, 2005 na 2010) ambapo tumeshuhudia nchini mwetu mtu...
Wadau wanahoji? kwa nini?
mwanza ina zaidi ya 1/3 ya waTZ wote. kwa nini imetengwa? kwa nini tukusanye maoni kwa kutumia vijiwe vya waswahili wa Pwani tu?
wadau wanauliza.
Sammy Makilla
HIVI majuzi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alizungumzia umuhimu wa wana-CCM wenzake kutambua umuhimu na faida za kuzungumzia mambo yanayowahusu pale panapostahili na sio ovyo ovyo...
Tumeona jinsi gani hiki chama ccm na viongozi wake wanacho tarajia kukifanya juu ya katiba yetu. Ukweli ni kwamba, tulioyaona mwaka jana sio uhujumu ila na vita vilianzishwa kuwa kandamiza...
Ndugu Mh. Samwel Sitta, napenda kutumia nafasi hii kukupa taswira halisi ya kile nionacho mimi katika swala zima la siasa.
Katika tafakari yangu kwa muda sasa juu ya maisha yako kisiasa, huku...
By Guardian on sunday correspondent
Just before I started –off for LUSAKA, I was in Dar es Salaam on the new year eve and for me it was one of those rare opportunities that I could watch...
Barua ya Wazi kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar
On April 6, 2011
Na Dk. Yussuf Saleh Salim
Mheshimiwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi,
MUWAZA inakuandikia ukiwa kama...
KAMPUNI ya Dowans Holding SA na Dowans Tanzania Ltd, zimeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itupilie mbali mapingamizi waliyowekewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na...
BARAZA Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha limemfukuza Mjumbe wa Baraza la Vijana Taifa anayewakilisha mkoa huo, Mrisho Gambo, kwa madai ya kukihujumu chama...
…kambi ya upinzani inaona umefika muda wa vyombo vya habari kutangaza kwa lugha za asili….
Haya ni maneno ya mbunge wa Mbeya mjini (CHADEMA) Bw Joseph Desmund Mbilinyi ambaye...
Kinachoonekana kwa sasa CCM nivikumbo kama mtu anavyokuwa anapita kwenye msongamano wawatu wengi akiwa ameitwa mbele jinsi anavyokuwa anapangua watu ili akaitike wito!!Mzee mengi Kauli yake ya...
Mh Zitto Ameuliza swali pesa zinazotumika kulipa mafuta mazito na wizara ya nishati na madini ili hali hizo pesa hazikuwa outlined kwenye bajeti ya 2010/2011. Je hii imekaaje, Amelijbu kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.