Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Pamoja na mabadiliko ya JK, bado pressure ipo kwa JK kuwapendelea Wakristo ktk masuala ya uongozi. Chaguo la Mukama ni kuonesha ni jinsi gani kwamba Wakristo bado wanapendelewa ktk nafasi za kazi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu mtu ni nani katika nchi hii? Nilimnukuu kwenye clip moja ya ITV jana akisema hata kama kuna utata kwenye matokeo utakaosababisha mawakala wa vyama kugoma kusaini form za kukubali matokea...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Wakubwa, Hatimaye Makamba ndo hivyo tena kapitiwa na mkumbo wa mageuzi ndani ya CCM, Ninawasikitikia wale wote ambao maisha yao ndani ya Chama hicho yalitegemea kuwapo kwake. Tufikirie hatima ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kushindwa uchaguzi Mkuu, CCM sasa yaamua Kutoana macho huko Dodoma. Hebu jiulize : 1/ Kama kweli CCM ilishinda uchaguzi Mkuu mbona sasa wananyoosheana vidole na kupigana huko Dodoma ...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zilizopatikana kutoka Dodoma kwenye kikao cha CCM chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete zinaeleza kuwa baadhi ya viongozi waadamizi wa chama hicho wamevuliwa madaraka.Kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
linki HABARI NI HABARI NDUGU YANGU: ITV HABARI NA MCHAKATO WA KATIBA NA VIBWEKA VYAKE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
........................
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amevunja Kamati Kuu pamoja na sekretarieti ya chama hicho inayoongozwa na Katibu Mkuu, Yusuf Makamba. Hatua hiyo imechukuliwa usiku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya Shitambala kujitosa mwenyewe baharini, ninaanza rasmi kumpigia chapuo JM (Sugu) ashike hatamu za CHADEMA mkoani Mbeya. Ni wakati wa vijana sasa, na anaweza.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa kadiri mambo yanavyokwenda na kwa kadiri siku zinavyokwenda ndivyo mzigo wa Matumaini ambao Rais Kikwete alichutuma kuubeba ndivyo unavyozidi kuwa mzito na unaozidi kumuelemea. Kwa mtu...
0 Reactions
388 Replies
36K Views
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Wana JF naomba kujua kama mtanzania wa kizazi kipya, miaka ya nyuma Taifa la Tanzania lilikua na Ideology [Itikadi] ambayo kupitia mfumo wa chama kimoja Idelogy ya chama ndio ilikua Idelogy ya...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Saturday, 09 April 2011 08:39 Salma Said, Zanzibar MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halina uwezo wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwakweli ni jambo lakusikitisha ambapo naona watanzania tupo kwenye hali ngumu katika maeneo mbali mbali,hasa kiuchumi,lakini ni jambo lakusikitisha serikali inapojitwisha mzigo wakulipa deni la...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
nimeangalia jicho la habari star tV leo asubuhi,nimesikitishwa na mwanaJF mmoja anaitwa Kigwangala(mbunge wa nzega) kuupotosha uma kwa makusudi kabisa. anaseme CHADEMA walisema wangeandika katiba...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mjadala Katiba hila zatawala Na Waandishi wetu 9th April 2011 B-pepe Chapa Maoni Watoto wajazwa ukumbini Dar Mmoja...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi viongozi wa CCM wamelogwa au? wanaugua ugonjwa gani? mbona hawatuambii wana ugua nini? Lakini kila siku wako kwenye msururu wa kwenda Loliondo kwa babu? Nauliza maswli haya kutokana na...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Vigogo wa KENYA washtakiwa The Hague ICC. Leo ndio leo katika historia, washukiwa hawa watatu watawasili saa nane mchana leo kusomewa tuhuma.na tarehe ya kusikiliza ushahidi wa kufungua kesi (...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Saturday, 09 April 2011 09:10 Midraji Ibrahim, Dodoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Jumamosi ijayo kitafanya maandamano nchi nzima kupinga muswada wa sheria wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
• Adaiwa kuwa chanzo cha kuvurugika kwa kura za maoni MZIMU wa kuvurunda kwa uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), umemwangukia Katibu Mkuu wa chama hicho taifa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom