No wonder waliahirisha bunge Ijumaa kumbe matumbo yalikuwa yanaharisha. But, Seriously, JK atapata nani msafi na mwenye akili timamu ambaye ni mwanachama wa ccm kwa sasa anayeweza kuwa katibu mkuu...
Ndugu Zangu
Kikao cha NEC ya CCM kinaendelea usiku huu Dodoma. Sura za watakaounda Sekretariati zimeshajulikana hata kama hawajatangazwa rasmi.
Na Nape Nnauye si ndiye Mwenezi mpya wa CCM. Nape...
Kilichotokea dodoma binafsi nilifahamu kitakuwa hivyo. Ndiyo! nilijua kuwa mwenyekiti kivuli wa ccm(kikwete) hana ubavu wa kuvua chama gamba ingawa sikutaka kujua ni gamba lipi linavuliwa kwa kuwa...
hata wana ccm wenyewe hawawezi kuamini usanii uliofanyika dodoma wiki jana. Atamfukuzaje lowasa wakati wa kampeni alidai kuwa ni mtu safi na apewe ubunge?
kama kikwete kamfukuza el sababu ya...
Tathmini yangu:
1. Kutoka KIKAANGONI kwenda MOTONI!
2. Mvinyo ule ule, chupa ile ile, NEMBO MPYA!
3. Uchakachuaji kwa kwenda mbele!
4. Asojua kufa, achungulie kabri!
Habari za uhakika zinasema wanafunzi jana usiku wa kuamkia leo wamefanya vurugu kubwa kaisho secondary wilayani karagwe huku wakivunja na kuharibu mali kubwa za shule na magari ya walimu.
vituo...
Tarehe 9 Aprili, 2011
DAR ES SALAAM
Uundwaji wa Chama cha Wanasheria cha Tanzania Bara na Majukumu yake
Chama cha Wanasheria cha Tanzania Bara (TLS) ni Taasisi ya Wanasheria wa...
Idadi ya watu ni kubwa, wanawake kwa wanaume. Wasomi kwa weledi wa kada mbalimbali. Muziki live na mchanganyiko wa mawazo kutoka kwa wachangiaji. Karibuni tuwe pamoja. Kampuni ya Maa Media kwa...
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha...
Katika kile kinachoelezwa kuwa ni mkakati wa vyama vya siasa kusaka mtaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu umoja wa wanawake wa ccm tanzania (UWccmT) jana jumapili uliandaa mkutano na wanafunzi wa kike...
na Datus Boniface
MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametaka kusikitishwa mara moja kuendelea na zoezi la kuratibu pamoja na kuwasilishwa katika kikao cha Bunge mjini Dodoma kwa...
Kutokana na kujiuzulu kwa Skretariat na Kamati Kuu ya CCM -- hivyo kujiuzulu kwa Makamba, mtu ninayemsikitikia ni Tambwe Hiza. Kilaza huyu kuwamo ndani ya CCM na kupewa mdomo mpana ambao kautumia...
Abduel Elinaza
POOR revenue collection has forced the government to borrow 346.52bn/- from internal sources to finance its budget, it has been learnt.
The amount represents one per cent of the...
Wasalaam,
(Tanzanias shrinking Presidency)
Kwa wale amabo hawajasoma The East African, kulikuwa na hii cartoon. Iko in pdf na jpge
Vipi, inasomekaje!?
Chanzo cha kuaminika, "kutoka kwa 'jembe' LEMA GODBLESS" akihutubia katika ufunguzi wa tawi la Udom, amesema kuwa "wapo katika mchakato wa kuandaa maandamano tarehe 16 mwezi huu kuupinga vikali...
Mimi naanza kuwafikiria viongozi wetu vibaya, inawezekana wananufaika kwa kupata fedha za comission kwani kama wananchi wa pande zote mbili za muungano wanaona muundu huu wa muungano hautufai...
Ni kwamba serikali imekubali kutungwa kwa katiba mpya au imekubali kuipitia ile ya zamani na kuifanyia marekebisho?
I'm kinda not clear on this because I keep hearing confusing messages. Does...
Tumekua tukishuhudia maamuzi,kauli na vitendo vingine vingi vya ajabu na aibu kutoka kwa viongozi wa CCM na serikali.Ni kweli kuna wanaotoa kauli,kuunga mkono au kushiriki katika maamuzi bila...
"God is truth. The way to truth lies through ahimsa (non-violence)" Sabarmati 13 March 1927
I wish we had a Mahatma Gandhi of our own, a strong voice that would unite us against greedy...
Miaka ya sitini Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Let the people make their own decisions, including their own mistakes". Sijachambua kama kweli alitekeleza maneno yake mwenyewe katika utawala wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.