Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mojawapo ya mambo yaliyonichefua kwenye muswada wa katiba ni pamoja na Part III hasa section 5 na 6. S.6 inasema kuwa wajumbe wa tume watatoka pande zote za muungano kwa idadi sawa (yaani kama...
0 Reactions
218 Replies
21K Views
na Mwandishi wetu, Dodoma BARAZA la Maadili limetoa waraka wa kukamatwa kwa msaidizi wa Rais Jakaya Kikwete wa masuala ya siasa, Rajab Luhwavi, kwa kosa la kukaidi wito uliomtaka kuhudhuria...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
If even one part of our continent lives under a tyrannical regime, none of us can claim to be free. The Swazi people have suffered economically and politically at the hands of the royal elite,"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati mji wa dodom aukiendelea na sherehe za aina yake za kuukimbiza utawala wa fashist Makamba na wenzake aliekuwa mwenyekiti wa uvccm amewaasa watanzania wanaoshika madaraka ya chama...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana JF nipo nchini Ujerumani, na nimebahatika kukutana na Kijana mwanaharakati kutoka Taasisi moja ya Musuala ya Liberal Democracy nchini Misri. Amewasilisha mada juu ya namna Vijana wa Misri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WAFANYAKAZI wa CCM Makao Makuu Dodoma wamejipongeza kwa kula na kunywa kwa kile wanachosema ni kufurahia kuondolewa ofisini kwa aliyekuwa Katibu Mkuu, Bw. Yusufu Makamba jambo walilokuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wanajamvi nina swali ambalo linanitatiza je ni sawa kwa ofisi za kata kupakwa rangi za ccm? nimeona ofisi ya kata ikungi, aghondi, msisi na mvumi zote zikiwa na rangi za kijani na njano ofisi hizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
na Danson Kaijage, Dodoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kamwe hakitawavumilia wanachama ambao wanasaka uongozi ndani ya chama hicho kwa lengo la kufanya ufisadi...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Alisoma waraka ulioonekana wazi kwamba ulikuwa umeandaliwa kabla. Katika waraka huo alidai kwamba kuna vyama vya siasa vinavyotumia fursa ya Mswada wa kutunga Katiba mpya kujijenga kisiasa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna wakati nimesikia bungeni swali likiulizwa kwa mwanasheria mkuu endapo kuna kesi zozote pending kwa DPP na jibu lililotoka likawa ni kwamba kesi zipo na zitawekwa wazi karibuni.Mimi sikutilia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAASISI ya kimataifa inayojishughulisha na tafiti za Utawala Bora, Jopa ( JPF), imesema taifa litakumbwa na anguko la uchumi la asilimia tano katika mwaka huu wa fedha kutokana na tatizo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muswada mpya wa katiba ni kielelezo kuwa Chama Cha Mapinduzi bado hakiko tayari kuleta usawa na haki katika taifa hili. Wakati wengi wetu wakijawa na matumaini kuwa huenda kukawa na mabadiriko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tunajua tz ina majumbo mengi hivo wabunge wengi,inakuwaje zitto,halima,lisu nawengine wanaongea angalau mara 3/wiki,,ilihali wabunge wengine hasa ccm hawaongei kabisa wanasubiri kusaini...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
hii ndio kamati kuu ya ccm-CC itakayochuja majina wa wagombea Urais 2015 na kubakiza watatu(3) watakaoenda NEC. VIONGOZI: 1. Wilson Mukama,2. John Chiligati, 3.Vuai Ali Vuai, 4.January Makamba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CCM,ndugu Yakaya Kikwete amedai kuwa moja ya maamuz ya mkutano mkuu ni kuwataka watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama na iwapo watakaidi watawajibishwa(na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niliwahi kusoma kitabu cha jamaa mmoja anaitwa Kainerugamba. Kati ya mambo mengne mwandishi alitoa orodha ya majina kumi ya watu wenye vyeti bandia (digrii hewa).Baadhi ya MAFISADI wa elim ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau sijaona mtu akizungumzia kukamatwa kwa mpambanaji wa ukweli kule Uganda Dr. Col Kizza Besigye, akiwa anatembea toka nyumbani kwake akielekea ofisini. wanadai wamemkamata kwa kosa la kuwata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF naomba mpasue majipu ya wafuatao kwa ganzi au bila ganzi kwa wafuatao: Hawa wote ndio waliowahi kushika wadhifa wa UKATIBU MKUU WA CCM tangu kuanzishwa kwake. Je nao walikuwa magamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau jana usiku nec - cc ya ccm wametangaza rasmi orodha viongozi wapya wa ccm Shaka yangu ni kuhusu Mukama ambaye kachaguliwa kuwa katibu mkuu - kwa kawaida nafasi hii hupewa mtu ambaye ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kufuatia vikao vya CC na NEC ya CCM, nimeonelea nimpongeze JK kwa vitendo kadhaa vya kijasiri. Kumpatia nafasi ya uenezi Nape Nnauye ni kitendo cha kijasiri kwa maana Nape haivi na Ridhiwani. Ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom