Alichokifanya Rais Jakaya Kikwete kufukuza Sekretariat na Kamati Kuu ya CCM ni sawasawa na marais wa zamani wa Tunisia Ben Ali na wa Misri Hosni Mubarak walivyojaribu kufanya katika jitihada zao...
Mimi ni miongoni mwa waandishi tulio hapa Dodoma. Nimepata hii taarifa kwa watu waliokuwa karibu na Ikulu sasa hivi usiku huu.
Rais Jakaya Kikwete amemuita swahiba wake wa siku nyingi, Edward...
Na Heckton Chuwa, Moshi
SIKU chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) kutangaza maandamano ya nchi nzima kupinga mchakato unaoendelea wa muswada wa katiba nchini, kundi moja...
Miminawashahuri wale vingunge na nguli wanasiasa wazoefu walioachwa kwenye kura za maoni kwa fitna au hila zozote kupitia CCM mpaka mkashindwa kupata nafasi zakugombea uongozi mbalimbali mwaka...
Kuteuliwa kwa January Makamba kuongoza Idara ya Mambo ya Nje ya CCM kunaashiria mabadiliko ya haraka ya Baraza la Mawaziri, ambapo Januari atachukua nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje. Hii ni kwa...
Napenda kuwakumbusha kitu kimoja hapa wote wale mlioachwa katika kusafisha chama wapo walioachwa kwa kuweka uwanja sawa!! ila kuna ambao mmeachwa kwakuona nyie siyo wenzao kwani mnachukia...
Nionavyo mimi " Wananchi wamepunguza imani na CCM kutokana na udhalimu na ufisadi unaofanywa kila leo na chama tawala hadi serikalini.
Kiukweli hamsomi alama za nyakati, na hambadiliki kutokana...
Viongozi 'washtakiwa' kwa kutotangaza mali
Patricia Kimelemeta na Raymond Kaminyoge
MBUNGE wa Jimbo la Rorya, Lameck Airo na Mkuu wa wilaya ya Singida, Pascal Mabiti ni miongoni mwa...
Muswada huu wa Katiba utavuruga umoja wetu
Monday, 11 April 2011 21:55 0diggsdigg
SASA ni dhahiri kwamba muswada wa marekebisho ya Katiba mpya unachukua mwelekeo wa kuvuruga umoja wetu na...
Asalaam aleykum,
Habari kutoka Dodoma ni kuwa wajumbe wa NEC sasa wanajadili hoja ya kuwavua uanachama Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge kwa kuwa tuhuma nzito za rushwa dhidi yao...
Baada ya miongo miwili ya kukumbatia wizi, rushwa, ufisadi na kila aina ya ukosefu wa maadili, CCM imeamua kujizaa upya kwa kauli mbiu ya "Kujivua Gamba". Nikinuu maneno ya Naibu Katibu Mkuu Bara...
ETI JK ANAWATANGAZIA WAKUU WAPYA WA CHAMA HICHO KUWA HATAKI KUPOKEA MSG ZA OOOOOH MKUUU WAMETUTUKANA,WAKIWATUKANA NA NYIE WATUKANENI,TUMESHAZUNGUMZA HAYA NA SINA HAJA YA KUYARUDIAA
HII NI CHUPA...
Wakuu. Chama Cha Wananchi (ccw) alimaarufu kama CUF Or CCM B, Kutokana na kuwa karibu/ kufanya kazi na ccm ambayo imekili imepoteza mvuto, na kusababisha jana kujivua gamba. Je maswaiba wao wa...
Hatimaye habari za "tiba ya miujiza ya Babu wa Loliondo" zimefunikwa kidogo,at least kwa muda,baada ya chama tawala CCM kufanya mabadiliko yanayoitwa makubwa katika safu za uongozi wake.Katika...
Chama Cha Demekrasia na Maendeleo aka CHADEMA kimepata uungwaji mkono mkubwa sana katika kada ya Wasomi Tanzania, Hali hiyo imejidhihirisha Siku za karibunu ambapo kumekuwa na Wimbi kubwa la...
By JULIUS BWAHAMA, 11th April 2011
A PROSECUTION witness testified before the Kisutu Resident Magistrate's Court on Monday that Richmond Development Company LLC did not meet the requirements for...
Juzikati UVCCM uongozi walikuwa wanataka Nape hata UNEC avuliwe, leo Nape yupo sekretariet ya CCM...Hivi bila vijoka navyo kuvuliwa magamba si ni kuibuka bifu jingine kiutendaji kat ya Nape na UVCCM.
Naam in continuing with our tradition ya KU RECYCLE WATAWALA this time tumeletewa huyu jamaa ambaye if anything CCM should have done better badala ya kuleta tuu jina la mtu kuwa ndio SG bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.