Baadhi ya wagosi (watu watokao na wanaoishi mkoa wa tanga) wamefurahishwa sana na kitendo cha mzee makamba kutoka ndani ya ccm.
Wengi wamefurahia suala hilo haswa kwa sababu ya ubabe,dharau,kebehi...
Hata kama sektetary ya ccm viongozi wake wamejiuzulu pana tija gani kwa taifa!?,huu unaweza kuwa mchezo wa kisiasa kuwanyamazisha wananchi wakiingia wengine wanakula vilevile kiasi mpaka mje...
Wana JF
Baada ya Jimbo la Mbeya Vijijini kuchukuliwa na CCM wananchi walitoa malaamiko kuwa Shitambala aliuza jimbo kwa Mafisadi wa CCM. Chadema makao makuu wakaingilia kati wakatoa tamko kuwa...
Tatizo la CCM ni mawazo ya kizee na matendo ya kibepari. Kabla ya kubadili uongozi, kwanza wabadili fikra zao juu ya taifa la sasa la tz.. Wasiendelee kuamini kwamba mtanzania wa sasa ndio yule...
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, CCM imekiri hadharani kuwa imejaa magamba, na imeanza kuyavua.
Lakini tujiulize Magamba yaliyopo ni CC na sektretarieti peke yake?
Mimi naona kuwa Gamba...
Nijuavyo mimi chama cha siasa chochote kile, kinaundwa na sera zake na wala siyo viongozi. Kwa mantiki hiyo sera za CCM kamazilivyokuwa zimebuniwa na waasisi wa chama hicho zilikuwa zimejikita...
Nimejaribu kufuatilia threads mbalimbali juu ya yaliyotokea huko Dodoma. Nimeona wachangiaji wengi kama akina Field Marshall, etc wakiwafagilia watu walio ndani ya CCM kwa mabadiliko hayo. Pia...
CCM Mbeya Mjini yajipanga kukomboa jimbo 2015
Imeandikwa na Na Joachim Nyambo, Mbeya; Tarehe: 8th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 80; Jumla ya maoni: 0...
Ndugu wana JF, nifananishe CCM na Mfumo wa ukuaaji wa wanadamu. Tuanzie na mfumo huo kuanzia Utoto, Ujana na Hadi Uzee, Mwili wa Binadamu hukuaa na kufikia UZEE ambao ndio UKOMO WAKE. Hata kama...
Wakuu.Habari za Jumapili.
Leo tena tunaendelea na harakati zetu za kujipenyeza na kuwekeza kwa Vijana wa Vyuo Vikuu.Vijana wa CHADEMA Dodoma wameandaa Kongamano kubwa la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu...
Taasisi ya kimataifa inayojihusisha na Tafiti za Kukuza Utawala Bora Afrika (JPF), imesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu na yenye amani tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais...
Sunday, 10 April 2011 23:19
By Moses Mashalla
The Citizen Correspondent
Arusha: The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) founder Edwin Mtei yesterday came out to support the call by...
Inasikitisha: Ni umbali wa km kama 2 tu, toka ukumbi wa BUNGE la JMT, ambapo wabunge wa CCM, CDM et al. na mawaziri hukutana, kuna Hospitali ya mkoa wa Dodoma ambapo wanawake wazazi hulala chini...
Tibaijuka: I am not a dictator
The UN agencys fortunes could decline, as the UK has withheld funding, accusing its management of lack of transparency, irregularities and highhandedness when...
Wazee,
Miongoni mwa hazina kubwa ya ccm ni Bw. Wilson Mukama. Huyu jamaa ni kifaa na hivi karibuni ametumika sana kujaribu kufunikafunika uchafu wa ccm na serikali yake. Inawezekana jk akamteua...
Katibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema...
wakuu,
Taarifa zilizotufikia humu jamvini ni JK (mwenyekiti wa CCM) Kulalamika kuwa CCM kuendelea kutegemea wafadhili matajiri ni kuhatarisha uhuru wa chama. Maswali ya kujiuliza hapa ni kuwa...
Tukitaka kuangamia vibaya Wzbar nikuendelea na mjadala wa mswada wa katiba bila ya Tanganyika na kero za Muungano kujadiliwa wazi.
Written by mkulima // 10/04/2011 // Habari // No comments...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.