Saturday, 09 April 2011
HATMA ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba inatarajiwa kujulikana kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho kinachoanza leo.
Kikao...
Virusi vinavyoitafuna ni CCM ni RUSHWA na UFISADI miongoni mwa WanaCCM.
Ninaomba kueleza:
Ukianzia ngazi ya shina, tawi, kata, wilaya, mkoa hadi taifa kuna watu wanaojifanya kuwa CCM ni yao...
Wanajamvini nilikuwa naangalia taarifa ya habari Channel 10 kuhusu sakata la dodoma nillkichokiona kwa Lema ni kuwa huyu ni mtu jasiri. Mkuu wa mkoa anasema "kuanzia sasa wanasiasa hawaruhusiwi...
Nilikuwa namsikiliza Waziri kivuli wa sekta ya utamaduni Joseph Mbilinyi au Mr. 2 kupitia Chadema. Akiwasilisha kambi ya Upinzani anadai vyombo vya habari viruhusiwe kutangaza kilugha. Msikilize...
Ni tabia ya mchawi kuwa anapoona sasa anakaribia kuumbuka huwachonganisha watu kwa kauli na vitendo vyake.
Uchawi ni wa kwenu ninyi wenyewe kama mlinunua ama kurithishwa sisi halituhusu; pokeeni...
PLANS are under way to construct a coal power station that will produce 120 Megawatts of electricity in attempt to compliment government efforts to end power woes.
The power plant will be...
Chadema yakwamisha bajeti ya Jiji Arusha
Imeandikwa na Na Prisca Libaga, Maelezo, Arusha; Tarehe: 8th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 138; Jumla ya maoni: 0...
Hali zenu wanajamii!!!
Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class...
Jamani wana JF, mataifa ya ulaya wanaamini Afrika ni bara la giza. Kuna baadhi ya nchi za Asia wanaamini Afrika ni Bara la watu waliochaganyikwa, wasiojua kipi kizuri na kipi kibaya, Wao...
Wakuu: Jioni hii bungeni; Kuna Mbunge wa Nkasi (CCM). Mh. Kesy amesisitiza kuwa nchi yetu si masikini na kusema kuwa EWURA ( Mamlaka ya kudhibiti nishati na madini) kila mfanyakazi (management)...
Ndugu wanajamvi wenzangu...yafuatayo ni maneno ya wajumbe wa CCM wakimuongelea mwenyekiti wao ambaye wengi tunamjua kama Raisi wa Tanzania
Si rahisi kuwa na maamuzi mazito; tatizo la bwana...
Kama vile nchi inaelekea mrama hivi...sasa baada ya ile habari ya mabomu Dodoma,na vurugu Dar yote kuhusu katiba, imefuatia hii kutoka Arusha UV-CCM Arusha wanasema wana vijana zaidi ya 9,000...
Wana JF,
Hebu naomba kujua uhai wa chama katika Mikoa hii mbona sisikii saana nguvu ya CDM katika mikoa hii. Kwa nini isifanyike jitihada ya hali na Mali katika kukiweka chama king'ae katika...
Ndugu zangu,
Nilikuwa kimya muda mrefu lakini tangu Mswada huu wa kutunga sheria ya kutunga katiba mpya utoke nimekerwa na vitendo vya serikali na Bunge kiasi kwamba nimelazimika kujitokeza...
Rais JK, inavyoonekana ni kama kadanganywa issue ya ujenzi jangwani, ambapo jana aliagiza ujenzi usimamishwe mara moja na kubomolewa... Leo ITV habari saa mbili usiku. Mafundi na wachina wanasema...
Katika mahojiano na TBC radio saa 1.30 asubuhi leo akifafanua sababu za kuzuia maandamano ya waislamu kupinga uvamizi wa Libya. Mtangazaji akataka maoni yake kuhusu ongezeko la maandamano tz...
Katika gazeti la Mwananchi la leo juu ya habari inayohusu vurugu iliyotokea jana kwenye public hearing ya mswada wa sheria ya marejeo ya katiba kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam...
Chadema wamekabidhi rasmi hundi yenye dhamani ya 5mil kwa familia ya hayati Denis,tukio hilo limefanyika leo,ingawa familia ya Ismail hawakuwepo baada ya wao wenyewe kujikoroga.Hayati denis...
Tunaomba sana muanzishe kodi mpya ya Michango ya Harusi, ambapo Kiwango cha Kodi kinachopendezwa kwa Kila Harusi inayochangiwa fedha kiwe ni asilimia 99.999. Kodi Hii Mpya Inapendekezwa Kuanza...
wadau wenzangu nimechoshwa na haya matamshi ya kuwaona watu wasiopo chadema hawana mawazo mazuri. Pale karimjee wakati tambwe hiza akiongea upupu wake hata wana ccm walimzomea lakini cha ajabu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.