Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Heri Shaaban JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhan ameibua udhaifu mwingine kwenye katiba ya sasa katika kipengele cha Rais wa Zanzibar kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani watz wenzangu nyerere aliwahi kusema bila ccm mdhubuti nchi yetu itayumba.sasa kwa vile alikuwa anaongea wakati wa chama kimoja ingekuwa sasa angesema bila chama makini nchi yetu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
2008-04-12 Na John Ngunge, Dodoma Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa jana bungeni, imependekeza Wabunge waondolewe kwenye nafasi za ujumbe wa bodi za...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Hi Je kuna yeyote anayejua jinsi ya kuchangia maoni ya katiba mpya? navyokumbuka ni kwamba kuna email iliyotangazwa tht kupitia hiyo mwananchi anaweza kutoa maoni yake; does anyone rem this...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chadema’s protest over new laws Bill Tuesday, 12 April 2011 21:46 By Frank Kimboy The Citizen reporter Dar es Salaam. The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) will hold demonstrations...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Ni kwa mara ya 3 sasa nashindwa kuelewa na kupata jibu kamili, Jaji Mkuu wa Tanzania Kila aendako namwona pia Lawrence Masha sasa je ni Mwambata wake au ukisha ingia kwa system basi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jk ameingia madarakani 2010 kwa kuiba kura na kuharibu taratibu zote za uchaguzi. Kinachoendelea sasa ni ukweli kwamba hawawezi tena kuiba kwa kiwango walichoiba 2010, kwani kila uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika kipindi hiki cha karibuni, tumeshuhudia mambo mengi, likiwamo la kuzungumzia na kuchangia muswada unaotarajiwa kupelekwa bungeni hivi karibuni kwa ajili ya kuweka ramani ya kutupeleka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Habari za kuaminika kutoka kikao cha CCM Dodoma ni pamoja na ajenda ya siri ya kudhoofisha nguvu za upinzani hasa Chadema. Kuhakikisha haipenyi vijiji na hivyo CCM kuendelea kuimarisha mashina...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Tuesday, 12 April 2011 20:31 Fidelis Butahe BAADHI ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini, wameponda mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kuwa tatizo la chama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waalianzisha harakati za ufisadi serikali ikapepesuka mpaka ikavunjwa na waziri mkuu kujiuzulu,wamekuja na maandamano nchi nzima CCM ikapepesuka,mpaka katibu mkuu kujiuzulu,CCM fumu...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Miaka hamsini ya kujenga na kuuimarisha umaskini nchini Tanzania NILISIKILIZA kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, maarufu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
CUF YAKATAA KUVURUGA UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA CHAMA cha CUF umelitaka gazeti moja la kila siku linalochapishwa jijini Dar es Salaam na mwandishi wake, kukiomba radhi kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hata kama anayotabiri yanawafaa wateja wake, hii ni hatari kwa usalam wa raia. Is this what free speach means? Huku si ndio kuwaambia majambazi wawaandame wanasiasa? Halafu watu wakidhurika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusufu Makamba amemtaka Rais Kikwete kutomsahau na kwamba pale atakapoona anafaa kama ni kwenda kujibu matusi yupo tayari kufanya hivyo. Awali, akifunga kikao cha...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jumuia ya wazazi CCM mkoa wa Kilimanjaro sasa wanapita shule hadi shule wakihamasisha maadili kwa wanafunzi. Walijaribu kutolea mifano ya vurugu za Tegeta na ishu ya wanachuo wa UDOM kutaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
UK Parliament How many MPs are there in the House of Commons? - 650 How much does the Prime Minister get paid?- £142,500. Do MPs have their own pension scheme? What is the annual salary...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natamani UDASA waandae konganamano kati ya Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM). hii itatuwezesha kujua aina ya vijana tulionao, hususan wakipewa uongozi kwa hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Dk. Yussuf Saleh Salim Mheshimiwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi, MUWAZA inakuandikia ukiwa kama mlinzi wa maslahi ya Zanzibar unayeumia katika moyo wako unapoona mamlaka ya kiutawala na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom