Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna wale wanajf wanaotoa thread kibao za kuonesha kuwa LOWASA ni Rais wa TZ 2015 mmeingia mtini? Naona swahiba wake jk kamfungia vioo Dodoma. Kapewa siku 90 kujiondoa kwenye NEC. Yeye na Rostam...
0 Reactions
124 Replies
11K Views
Rais na Madaraka yake Makubwa ya Mateuzi YouTube - Skia hii kitu kutoka kwa Jenerali Ulimwengu na mchakato wa katiba 2011
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba tumpe heshima anayostahili Mzee Wetu Rashid Mfaume Kawawa mmoja wa Waasisi mahiri kabisa wa Taifa letu. Natumaini wote tunakumbuka kuwa Simba wa Vita aliaga dunia katika Hospitali ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By In2EastAfrica - Wed Apr 13, 1:41 pm National Assembly The government said on Monday that the power crisis was not the only factor behind low revenue collections in the country...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Baraza la Madiwani Jiji la Arusha limepitisha bajeti ya zaidi ya Sh. bilioni 48.1 kwa mwaka huu wa fedha wa 2011/ 2012, licha ya madiwani 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema )...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
naomba niwape tofauti kati ya chama maarufu, chadema, na chama tawala, ccm- ambacho kitakufa hata kama wakibadilishana nafasi. chadema: 1. wasema ukweli daima na hali halisi ilivyo, na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana tarehe 10 Aprili 2011 mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja na maazimio mengine yote, imeona hali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara nyingi wakati wa uchaguzi mtu humpigia kura mtu amtakaye awe kiongozi wake akiwa ana sababu mbalimbali, Pia huwa na mtu ambaye asingependa kabisa awe kiongozi wake kiasi kwamba hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi tajiri sana ina madini kama gold,diamonds,tanzanite,uranium,shaba na pia 2na misitu kila pande ya nchi,tuna mbuga za wanyama za kutosha tu ambazo ni kivutio kwa watalii kutoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwenye RaiaMWEMA la leo, kuna habari yenye kichwa "Rostam, Lowassa wakatwa miguu". Kwenye habari , inaeleza kwamba Mwanasheria Mkuu Jaji Frederick Werema aliharakisha kuanguka kwa watuhumiwa wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Israel Mgussi,Dodoma NAIBU Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, amekipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwapatia vijana nafasi katika uongozi wa sektretarieti na kamati kuu ya CCM...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wenje amjia juu spika. Leo ndio imeonekana spika hajui lolote kuhusu sheria baada kushindwa kulizibiti bunge
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba wajumbe wengi wa NEC ya sasa wanahongeka kirahisi kiasi kwamba mzee wa Kaya ameamua kuwatema 'wahongaji' hodari; na hapohapo ikapendekezwa kwamba wajumbe wa NEC sasa watatoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kumtahadharisha mzee wangu sitta kuwa ccm hawamtaki ni bora akijiondoa mapema kwa heshima kabla fedhea haijamkuta hii inathibitishwa na kutochaguliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na wajumbe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
chama cha demokrasia na maendeleo siku ya jumamosi kitawasha moto maeneo mbalimbali kupinga mswada mbovu ulioletwa serekiali juu ya uundaji wa katiba nikwaa maeneo ya udom jana maeneo coed...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wanasayansi vijana embu changamkieni fursa hii hapa. Please check deadline is approaching.
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Nimekuwa nikisikia waheshimiwa wabunge wametoa mali ama fedha zao binafsi kwa ajili ya kusaidia huduma za jamii.Hili hunishangaza sana.Naomba kuuliza wakuu katika JF.Je hii si aina ya rushwa?. Kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa nini kila analofanya linaonekana baya machoni mwa watanzania Nyerere alimwambia kuwa nchi haiwezi kuongozwa na bepari kama yeye, kwani kuwa tajiri ni kosa? Kikwete akamwambia asante kwa msaada...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Napenda kunukuu yaliyowahi kusemwa na aliyekuwa Waziri Mkuu JMT hayati Sokoine kwamba; 1. TUMERUHUSU walanguzi na Wahujumu uchumi kuongoza nchi 2. Walanguzi na Wahujumu uchumi ni maadui wa taifa...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mrithi wa Makamba aingia na moto Katibu Mkuu huyo ambaye ana kibarua kigumu cha kusafisha chama na kukirejesha katika misingi ya waasisi wake tangu enzi TANU na CCM ya mwaka 1977, alisema...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Back
Top Bottom