Wadau,
Nimepitia tovuti ya CCM na kuangalia wajumbe wa kamati kuu, maana kuna tetesi kuwa sijui akina lowassa na rostam wametolewa...... waliotolewa si wale wakina makamba tu, sio kila mtu...
kwa yale yaliotokea juzi na jana mjini Dodoma, ni dhairi ya kwamba kikwete anamuandalia mtoto wa mzee mwinyi kuwa raisi wa Jamuhuri ya mungano wa Tanzania. Vigezo ni vingi, ebu angalia...
Nimeambiwa Jijini Central ni ngurumo za generators tupu tangu asubuhi. Kwa yale tunayofahamu kuhusu Richmonduli, Dowans et al, jamaa walioenguliwa wanatunisha tena misuli au kulikoni?
Nimejiuliza sana hili swali kwa kuangalia matamshi ya wanasiasa wanaohama Upinzani na kurudi chama tawala, hasa kauli za Sambwee hivi karibuni....naamini hakuna dhambi kuhama kwenda chama tawala...
Leo Bunge Linachagua watu watakaoliwakilisha Bunge katika Pan African Parliament, Kulikua na mvutano mkubwa kuhusu kanuni ya uchaguzi na lugha itakayotumika katika kujieleza na kuomba kura...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea...
Jamani hivi pale bungeni wabunge wetu watu wapo kama vile mashabiki wa simba na yanga au?mi siwaelewi pale hata inapotolewa hoja ya kweli na mbunge pinzani kinachofuata ni ubishi wa kishabiki na...
Masikitiko makubwa yapo kwa wakazi wa kaskazini mwa kisiwa Cha mafia.
wanasikitika eti mbunge wao anayarudisha nyuma makusudi maendeleo yao hasa ktk swala zima la Elimu.
1)PALE Kirongwe. Shule ya...
Mh Samia ametutukanisha Wamakunduchi wote kuonekana siwo wamana.
Kuna watu huliza huko Makunduchi kuna nini hata ikawa badhi ya viongozi na watu kutoka huko kuwa wakorofi ktk maendeleo ya...
We unafikiri kisiasa wakati wa kuomba kura JK angefanya nini wakati anapita kwenye majimbo ya uchaguzi wakati wa kampeni,wakati huohuo kumbuka hali ya siasa ilikuwa ngumu kwa upande wake.Mi...
Naomba michango ya kifikira, mawazo na hata ushirikiano kuondoa Ufisadi Kisiwani Mafia.
kubwa nitajenga base kubwa kwa kutumia vijana kulikomboa jimbo na ufisadi wa Mh Bulj na maofisa wengine.
By Tom Mosoba and Edward Qorro
Mr Utouh: His 2007/8 audit report has ruffled some parastatals feathers
Some senior official of parastatals are reportedly unhappy with the his report over...
He who knows not and knows not that he knows not is a fool
Hii ni nukuu katika kitabu cha mwandishi nguli wa Nigeria Chinua Achebe inayopatikana kwenye kitabu chake kiitwacho A Man...
Hatimaye Katibu Mkuu mpya wa CCM, amekiri chama chake kuwa maficho ya Mafisadi.
CCM inatakiwa kujengwa upya kabisa na ili hayo yaweze kufanikiwa, kuna kila sababu za kuwa na watu safi, hivyo...
Amini Usiamini, Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa nafikiri wa mji mkongwe bi AMINA AMOUR ameuliza swali bungeni kwamba Dar Es Salaam imekua na magari mengi na...
UVCCM tuko tayari kushambulia pamoja na kujibu hoja za chadema ambazo zimepitwa na wakati. JK akiwa Rubani, 2012 ni mwaka wetu, kwani kasi ya CDM itakuwa imekwisha na wananchi kuwatambua kuwa...
naomba kuwasilisha mada ya kusema spika mstaafu, waziri wa afrika mashariki na mbunge wa urambo mashariki mh sana samuel sitta naye kumbe ni nguvu ya soda.
nadiriki kusema haya kwa kufuatia...
Waungwana naweka hoja hii mbele yetu tujuzane, binafsi nimepigwa butwaa eti mshauri wa RAHISI JK masuala ya siasa katiwa nguvuni kwa kushindwa kuweka wazi mali na madeni aliyonayo si mwizi huyu...
Nakumbuka katika sherehe za kuchangia kwaya moja Sita alitamka kuwa nchi inayumbishwa na mafisadi wasiozidi kumi ila akaonya kuwa mwisho wao itakuwa kabla ya 2012. Je alijua hatua za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.