Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
kikwete ameyapa mafisadi siku 90 wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama, hii sioni kama ni sahihi kuwapa mda ilitakiwa waondolewe kwa aibu ili wajutie matendo yao mabaya walio tendea Wa Tz
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Kama kuna chama cha siasa kilichoshindwa kusoma alama za nyakati kisiasa,basi chama hicho si kingine ila ccm.Chama hiki hivi karibuni tumeshuhudia kamati ya sekrearieti ya chama ikijiuzulu ktk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Jabir Idrissa MUSWADA wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011, umeelezwa kuwa ni kitanzi kwa wananchi. Unazuia wananchi kujadili mambo makuu yanayogusa maisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF Napendezwa sana na utendaji wa CDM katika kumkomboa mtanzania maskini, na tanzania kwa ujumla. Ningependa sasa elimu ya uraia ya chadema iwafikie watu wote hata waliopo vijijini. Je kuna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
huyo katoka ikulu moja kwa moja jela ni bora kutenda haki kuliko aibu kama hii sio kwamba tanzania haita tokea, hapa itachukuwa muda lakini itatokea tu, kama wezi wa epa na futa msamaha wako kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nadhani mtamkumbua yule mkuu wa wilaya huko bukoba aliyewachapa walimu kwa uzembe wa kuchelewa na kutofundishwa mwaka juzi.Huyu mweshimiwa nimemkumbuka sana,anafaa sana awepo bunge kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi hii ina maana gani. Nilivyoona kamati mpya za CCM hii idara sikujua kuwa inawakilisha CCM kimataifa (ulimwenguni) Nilizania ni mahusiano kati ya CCM na vyama vingine? Ina maana kila chama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yawezekana ama kweli wameanguka kisiasa au ni mchezo wa kuigiza. Vyovyote ilivyo, kuna mabadiliko katika maisha yao ya kisiasa na kiuchumi na uwezo wao wa kuwezesha mawakala wao wa kisiasa na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanabodi, Leo siioni TBC live ya Bungeni, wenye access na Star TV tuambiane kinachojiri, na kibidi mtupatie update ya maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, na ni utaratibu, swali la kwanza...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Na Thaddeus Musembi Katika mafundisho ya Bibilia na yale ya Katoliki neno injili humaanisha masimulizi yahusuyo maisha na habari za Yesu Kristo. Katika uasilia wake neno injili humaanisha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
anaglieni ripoti ya ukaguzi. Nafikiri mtaweza kufungua hapa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sijaelewa mantiki ya CCM kuammua kwenda kwa wananchi, nchi nzima kujitangaza kwamba imejivua gamba (CC na Sekretarieti bila shaka ndo vilikuwa gamba) wakati mambo kadha wa kadha yanabaki bila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF Leo nilipata nafasi kupitia ofisi ya CCM nikawakuta wanachama wakijadili mabadiliko yaliofanywa na CCM kwenye uongozi wake. Wengi waliokuwa wanachangia walikuwa wanamtaja Slaa kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Hellen Hunter Nyerere's role in the affair is less clear. In mid-1963 when Hanga and several other ASP leaders first approached him for arms and financial support, the Tanganyika President...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
na Mauwa Mohammed, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanzisha mpango wa utoaji wa gesi ya kupikia bure kwa wananchi kama moja ya hatua za kudhibititi ukataji wa miti katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wenye access ya TV, watch TBC live, Spika Mama Makinda anachezea kibano kuhusu kanuni! Sio siri, Spika Mama Makinda, Bunge linamshinda!
1 Reactions
331 Replies
32K Views
Binafsi nimekuwa mpenzi na msomaji mzuri sana wa hili Gazeti tangia lilipoanzishwa na ilikuwa ni lazima kila wiki ninunue Nakala yangu.Ilifikia hatua nikalichukia nakuacha kulinunua kabisa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo cha kamati na halmashauri kuu ya CCM kuamua kuwachukulia hatua E.L; R.A; na E.C bila ya kutoa kwao kwanza orodha ya mambo wanayotuhumiwa nayo na kuwataka kuwasirisha utetezi wao kwenye...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom