IVI WANA JF WALE WABUNGE WA CCM WAKO SAWA KWELI KIAKILI WAKIONGOZWA NA HAWA WAFUATAO:-
ANA KIMLANGO - BINGWA WA ZOMEA ZOMEA
MUSTAPHA MKULO - LUGHA ZA KEJELI KWA WANANCHI
SOPHIA SIMBA - BINGWA WA...
Wanabodi,
Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika,
Wenye access watch TBC Live Now!.
Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya...
Kuna taarifa kwamba viongozi wakuu wa Chadema wametinga mkoani Tabora kwa mkutano wa hadhara. Katika mkutano huo, viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na Dk. Willibrod Slaa, Mabere Marando...
Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na...
Events (dear boy) are the joker in the game of politics . Former Premier Edward Lowassa's apologies for the Richmond (Richmonduli) fiasco yesterday were as handsome and dignified as they could be...
Nimejiuliza hili swali kwa wiki tatu zilizopita, tangu Muswada wa marejeo ya katiba uwekwe hadharani. Swali hili moja linalonijia ni:
- Iwapo kitu kikubwa kama Muswada wa marejeo ya kutunga...
Maandamano yalikuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima, ili kupinga muswada wa katiba wasitishwa na m/kiti wa cdm mh. f.mbowe. Hii ni baada ya spika kuutoa usijadiliwe bungeni.
Source. TBC...
Heshima yenu wana jamvi!
Waswahili usema mwisho wa ubaya ni aibu, na malipo ni hapahapa duniani. Siyo siri HOT NEWS ndani ya wiki hii ilikuwa ni ccm na kujivua gamba. Baada ya vutanikuvute huko...
Wadau kuna habari kubwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Jambo Leo la leo kwamba maandamano ya kesho ya mikoa kumi yaliyoandaliwa na chama kikuu cha upinzani chadema yamefutwa na hayapo.Ninaomba...
Watanzania tunashuhudia mabadiliko chanya yanayotokea ndani ya CCM. Kwa watu wenye nia nzuri na nchi kwa vyovyote vile watakuwa wanayafurahia.Kwa mtazamo wangu mabadiliko haya yamesababishwa na...
Na Edmund Mihale, Dodoma
MZIMU wa Kampuni ya Meremeta uliibuka tena bungeni Dodoma jana, baada ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Bw. John Mnyika kumtaka Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda kuwataja...
HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemuagiza Katibu Mkuu wa chama hicho, Wilson Mukama, kuwaandikia barua viongozi wanaotakiwa kujiuzulu kuwafahamisha kwamba, kama...
Jana asubuhi tar14 april,nimefika bodi ya mikopo pale Tirdo Complex Msasani,nkapewa taarifa kuwa kuna wizi umetokea ambapo mlinzi alivamiwa na wezi na kumtaka anywe chai waliyokuja nayo,badala ya...
Baada ya kusikika kelele kubwa dhidi ya serikali pale walipozuia magari ya Ndesamburo kupeleka wagonjwa kule Semunge kwa babu, mainzi wakali walijitoma kusaka chanzo cha timbwili hilo...
Nimesoma kwa haraka haraka ripoti ya CAG ya mashirika umma. Naandaa uchambuzi yakinifu nitauleta next week.
Kwa huo uharaka nimegundua kuwa NSSF imetajwa sana kwenye mapungufu mengi lakini PPF...
Chama cha magamba kinanishangaza sana badala ya kuvua gamba ili waweze kuisimamia serikali iwahudumie wananchi ipasavyo wao wanalenga kushinda uchaguzi. Huku ndio kutufanya watanzania wote ni...
Kutokana na mwenendo wa mswaada wa kubadilisha katiba naona kuna kamchezo CCM na serikali yake wanacheza kuwaadaa watanzania kuhusu katiba mpya. Mimi naona CCM na serikali yake haina nia ya kuwa...
WanaJF
Wengi watakuwa wanajua kuwa RA na wenzake ni vinala wa ufisadi EPA, KAGODA, RICHMOND na DOWANS MEREMETA ETC. Lakini ninachokiona ni kuwa ccm imeandaa mbinu ya kupoteza ushahidi wa hawa...
Wadau kutokana na tunachokiona ,leo serikali imejitokeza na kutuma ujumbe mkubwa ukiwahusisha mawaziri,mwanasheria mkuu wa serikali pamoia na makada waandamizi wa ccm kwenda kwenye vituo vya...
Imenibidi nijiulize hili swali coz alianza kwa kuivunja serikali yake baada ya kugubikwa na rushwa pamoja na ufisadi sasa amevunja secretary ya CCM aliyokua akiiongoza yeye na msema hovyo makamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.