Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanasheria wa JF naomba muongozo kama kuna sheria inayorushusu Spika Makinda a.k.a Mama Kiroboto kufukuzwa Uspika au kusitishwa kutokana na Tabia yake ya Kupendelea chama au kutetea chama badala...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Jana nikiwa ubungo mataa trafic alizuia magari, kisa msafara viongozi wapya wa ccm wanapita huku wakisindikizwa na pikipiki ya polisi huku ikipiga king'ora ikifuatiwa na Landcruiser V8 Kama 6 (new...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Eti leo hii CCM.... wanavua magamba.. kisa UFISADI....... MKAMUONDOA SAMWELI SITA... mwenye uchungu na nchi hiii kwenye uspika aliyekua akipinga huo huo ufisadi.... Haingii akilini leo mwajivua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za kazi na weekend ndugu zangu wana jamvi, kuna habari zakusikitisha sana kutoka katika vyanzo vinavyoaminika katika halmashauri hii ya kigoma, kiukweli halmashauri hii imekua ikitumika...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ujenzi wa kiwanda cha magadi Ziwa Natron ni wa kuutilia shaka 2007-10-11 10:18:38 Na Johnson Mbwambo wa JET Mwingereza mmoja mwenye asili ya Ireland, John Nolan, alipata kunukuliwa na gazeti...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), Kimeanza staili mpya ya kujijenga kwa wanafunzi wa shule za sekondari huku makamu mwenyekiti wake, pius msekwa akidai kwamba chama cha upinzani cha chadema kimeanzisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
CHADEMA ndio style mpya, Ni kweli pia kwamba chadema ni chama makini, lakini chadema si chama makini kwa watu makini tu ila kwa watu wote. Watu makini wote wako CHADEMA, kama nawe ni makini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UMOJA wa Kiislamu (Istiqama) Mkoa wa Dares Salaam, umemtaka Sheikh Mkuu nchini, Mufti Shaaban bin Simba, kuacha kuvishambulia vyama vya siasa vinavyoikosoa serikali na badala yake ashughulikie...
5 Reactions
121 Replies
11K Views
Watanzania wanaishi kama shida na taabu za umasikini mkubwa sana. Watanzania wengi hawajui kesho, jana afadhali. Zitto amefichua na ametuambia watanzania kuwa kuwa ujanja ujanja kwenye hela...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
nipende kuuangana na watanzania wenzangu kukupongeza kwa uamuzi mgumu uliouchukua wa kusafisha chama cha mapinduzi,kwa mtu yoyote aliyekomaa kisiasa na mwenye busara hawezi kushindwa kutoa pongezi...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza mbona makampuni mengi ya kizalendo hayabadilishi majina kama yanavyofanya makampuni mengi ya kigeni yanayoendesha shughuli zake hapa nchini.Nimegundua makampuni mengi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A TOTAL of 3.7bn/- from 14 Tanzania Embassies is reported to be unaccounted for in expenditure anomalies revealed by the Controller and Auditor General’s (CAG) report. The Embassies are...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
wadau mbona kwenye taarifa ya habari ya saa mbil sio tbc,startv,itv,chanel ten waliorusha mkutano wetu ulioongozwa na rais wangu slaa kule tabora.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
na Hellen Ngoromera na Irene Mark UMOJA wa wanachama wa Chama cha Mapinduzi kutoka vyuo vikuu nchini, umesema hatua ya CCM kujivua gamba kwa kufanya mabadiliko ya kiutendaji haitoshi kwani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi Wanajf! Ninakubaliana kabisa na kuondolewa hati ya dhalula iliyoambatanishwa na muswada wa mabadiliko ya katiba ili watu wengi zaidi wapate fulsa ya kuuchangia. Jambo ambalo bado sijalidhika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sitta arejea Nec kwa kishindo Send to a friend Saturday, 16 April 2011 08:41 Mwandishi Wetu, Dodoma NYOTA ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
chama cha kijana ambocho kinaongozwa na koo sita chaogopeka kwa wananchi .chama mapiduzi huongozwa vyombo viwili ambavyo ni cc na necchama hiki huongozwa na koo zifuatazokoo zenye ushawishi wa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Lengo la kuomba kazi ktk chama tawala ni baada ya kuona kwamba, chama hiki kikongwe hakijui tatizo lake. CCM hawajui matatizo yao kwa kukosa watu wenye ufahamu au kwa kukosa watu wenye kusema...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kama ilivyo dhana ya utawala bora,bunge linapaswa kuwa chombo huru kwa maana ya kazi zake na hata kalenda ya mambo yake.kinachonishangaza bunge letu ni kama serikali tu. hivi kwa nini waziri mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom