Hali ngumu ya Maisha nchini Kenya inawalazimisha wakenya Kutumia nguvu ya umma kuishinikiza serikali kuweka jitihada zaidi kupunguza bei za mafuta. Hapa nchini wana blogu kadhaa,hasa Issa Michuzi...
Wadau, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Masaju na Waziri wa Utumishi Mh. Hawa Ghasia wako live Channel Ten wakitoa ufafanuzi juu ya Muswada wa Katiba...
Mwenyekiti wa baraza la vyama vyote vya siasa nchini Bwana Emmanuel Makaidi ameimwagia sifa kibao CHADEMA kwa kile alichodai ni mapambano yake ya kuondoa mswada wa katiba uliowasilishwa bubgeni...
Wapendwa watanzania wenzangu, Nimeshuudia kwa takriban miaka miaka saba sasa Tangu Benjamini William Mkapa akabidhi nchi kwa JK, Hali ya mwana nchi mpiga kura inaendelea kudorora na hatua...
Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.
My take;
Kwa...
Nakubaliana na Jenerali kwamba Mwalimu Nyerere anaonekana shujaa kipindi hiki kutokana na uozo wa viongozi wetu wa sasa. Vinginevyo Mwalimu naye alikuwa na 'madhambi' yake. Kubwa la kujiuliza ni...
Mwekezaji amchoma moto raia Dar
na Hellen Ngoromera
RAIA wa Kiasia anayehusishwa kumiliki hoteli moja maarufu iliyopo Kigamboni anadaiwa kumjeruhi kwa kumchoma moto mkazi wa Mjimwema...
CHADEMA siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana...
kuna mambo mengi sana yanatokea huko vijijini na vyombo vya habari hawaviripoti hata waandishi wa habari hawaripoti mambo haya
Ni dakika chache tu nimeingia kutoka Kaliua na Urambo. Tumekuwa na...
TATIZO LA AJIRA NCHINI
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita na kugundua uwepo wa gonjwa kubwa sana la uhaba wa ajira nchini. Kuna kila sababu ya wananchi wa...
Tunaambiwa kuwa CCM imevua gamba. Nadhani huu unaweza kuwa ni mwanzo wa mwisho wa zama za CCM. Kwa nini ninasema hivi, nitaeleza baadae. Mawazo yangu yananituma kuwa mwisho na kiama cha CCm...
Kama ni kweli kuwa kwenye mradi wa IPTL serikali inalipia tshs 152, 000, 000 kwa siku basi suluhishisho la kuwapatia wananchi wote wa tanzania umeme liko wazi-kama si ufisadi. Kwa msingi huo ni...
Kitu kikikutwa kwako au shambani ndo kusema mwenye ngozi ndiye aliyekula nyama au? AK-47 iliyokutwa huko shambani kwa diwani ni yake kweli au laah maana ina shida imetumika kwa matukio sana
TATIZO LA AJIRA NCHINI
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita na kugundua uwepo wa gonjwa kubwa sana la uhaba wa ajira nchini. Kuna kila sababu ya wananchi wa...
[quote="Dr.W.Slaa, post: 1868795"]
WABUNGE WA CHADEMA WANAPASWA KUIGA MFANO WA KATIBU MKUU WAO DR SLAA KATIKA KAZI YA KUKIJENGA CHAMA KWA KUFUNGUA MATAWI YA CHAMA NA KUINGIZA WANACHAMA WAPYA...
Wadau najiuliza ni kwanini mpk leo asbh hakuna tv yeyote imeonyesha wala kuripot hbr ya cdm-tabora?tbc huwa wanatoaga hbr via internet bt kwa hili hawajafanya wako bize kuonyesha wanaovua magamba...
Na Maggid Mjengwa,
VIONGOZI Afrika hawajui kusoma alama za nyakati. Tumeona juzi hapa, kiongozi mwingine wa Kiafrika akidhalilika na kulidhalilisha bara letu, si mwingine ni Laurent Gbagbo...
More rapid than eagles the competitors came, And Bill whistled, and shouted, and called them by name. "Now, ADOBE! now, CLARIS! now, INTUIT! too, Now, APPLE! and NETSCAPE! you are all of you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.