Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CCM kujivua ‘Gamba' inatosha kujisafisha? Hapana huu ni ubabaishaji wa siasa za maji taka, wanazunguka mbuyu 562 55.3% Ni bora wakifutilie mbali na kuanzisha chama kingine, gamba huwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo muda huu Jk yuko live TBC1 akitwangwa maswali na wawekezaji kutoka nchi mbalimbali anajibu maswali vizuri lakini kwa kigugumizi chake kwa lugha ya kiingereza siokoti kitu.
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari vinavyopinga Lowassa(Mwanahalisi na Raiamwema) na vinavyo msapoti(Rai na Mtanzania). Nimefuatilia sana wanasiasa wanaompinga na kumsapoti. Mwisho...
2 Reactions
153 Replies
14K Views
Huu mfumo serikali wanaotumia kugawa mikopo ktk vyuo vikuu umejaa siasa sana. napenda nizungumzie kwa upande wa sayansi. Serikali kwa kupitia bodi ya mikopo wameamua kutoa mkopo kwa asilimia mia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walitumia mbinu ya visu kuidhoofisha CUF miaka ile, watu tukaamini. Kumbe ilikuwa ni janja yao. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na wanaharakati wa P. Power :whoo:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Hii ni Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG-Ludovick Utouh. Niko kwenye chumba cha press conference ya Bunge, ambapo CAG, Ludovock Utouh anaitangaza rasmi...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Marando afyatua kombora Jangwani Alipotakiwa kufafanua walikiukaje maadili hayo Mhando alisema: "Walikuwa hawazungumzi sera bali walikuwa wanatukana. Kama ulikuwa unafuatilia matangazo yetu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Rais Jakaya Kikwete akijibu maswali kwenye Mkutano wa Uwekezaji wa Afrika unaoshirikisha pia wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza mjini Dar es Salaam. Wengine ni Rais...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[SIZE="3"]Kutokea kuingia madarakani kwa Raisi Kikwete mwaka 2005, vyama vya upinzani vilianza kupiga kelele juu ya kuwepo kwa wizi mkubwa wa fedha za umma hususan EPA, RICHMOND, RADA, MEREMETA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
chadema nao kumbe wanatafuna mapesa yetu bila kuwajibika mbowe anazitafuna tu hizo na kusingizia anajilipa madeni. Vita ya ufisadi yageukia vyama vya siasa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau najaribu kutafakari kwa kina.......baada ya Viongozi wengi wa chama kilicho madarakani kwenda kwa nyakati tofauti kupata kikombe Loliondo imeibuka falsafa ya kupinga ufisadi uliokuwa sera...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesoma makala ya Mwanakijiji humu jamvini ikielezea kwa kifupi malengo ya vyama vya upinzani kama CHADEMA na yale ya chama tawala - CCM. Nampongeza sana. Ndugu zangu, sijui ni kwa makusudi au...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
hoja…… ………waheshimiwa wabunge mnaunga mkono hoja?..Ndiyooooooooo!.......... Hizi ndio kauli kuu mbili kwa wabunge wetu ya kwanza ni ya baadhi ya wabunge ambao wakisimama hawaachi kusema...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesoma makala ndefu ya Mwanakijiji ilikuwa ni makala nzuri sana. Ninaomba niweke moja ya hoja yake ambayo ni kama pendekezo lake kwa Chadema ili waweze kupambana na CCM inayojivua gamba...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Zile siku 21 za Slaa juu ya kurudia uchaguzi wa madiwani arusha ni lini zitakamilika?
0 Reactions
99 Replies
7K Views
Mawaziri wachongewa Imeandikwa na Joseph Lugendo; Tarehe: 18th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 269; Jumla ya maoni: 0 MARAIS wa nchi wanachama wa Afrika Mashariki, wametakiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
upepo unaovuma ndani ya chama cha mapinduzi unaonyesha kwamba yale yaliyo mtokea rais mstaafu thabo mbeki wa afrika kusini huenda yakamtokea vilevile rais wapo jk. kwa jinsi gamba la ccm lilivyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Nimesoma habari hii chini nikabaki kujiuliza; "Kama huyu ndiye Consultant wa Chama Tawala; hivi washauri wa serikali wanatoa ushauri wa namna hii pia?" Napata wasiwasi kuwa Consultant huyu...
23 Reactions
536 Replies
41K Views
Wajumbe JF: Sasa naamini usemi kwamba muosha naye huoshwa. Kwa hali ilivyo sasa hivi ni kwamba CCM imeumbuliwa (humiliated) sana na Chadema katika masuala ya ufisadi na hususan baada ya Dr...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Naona kadiri siku zinavyoenda CCM wanahangaika kujiwekea kanuni na mazingira ya wao kula hii nchi mfano mzuri ni kuanza kujipenyeza kwenye mazingira ya ulaji na si mazingira ya kumtengenezea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom