Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ina semekana kuwa Lowasa, Rostam na Chenge wana asilimia 60 ya mawaziri, asilimia 70 ya wabunge wa CCM, asilimia 50 ya wakuu wa mikoa, 50 ya makatibu waku, 60 ya majaji, asilimia kubwa ya watu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Asubuhi hii Paul Makonda (UVCCM- Moshi Mjini) karudia maneno yake ya jana kupitia ITV lakini kwa msisitizo mpya kuwa RA akionwa popote AOMBWE KWA UPOLE aondoke nchini kwani ndiye chanzo cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hadhi na heshima ya taifa letu imekuwa ikishuka siku hadi siku na hali imefikia kiwango ambacho huwezi kujisifu kuwa raia wa nchi hii. Viongozi wetu wameondoa mapenzi yetu dhidi ya taifa letu...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Nimewaandikia nyinyi nijua huwa mnapita humu ndani. Sasa basi nyie waheshimiwa hamuoni umhimu wa kuwa na chombo cha habari cha CDM ambacho kitatujuza mambo ambayo hatuyapati. Mfano ni jana tu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
WANA JF, NAANGALIA CHANEL TEN, MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AMETANGAZA KUUFANYIA MAREKEBISHO MAKUBWA MSWADA HUU ULIOLETA TAFLANI HIVI KARIBUNI. MAMBO AMBAYO AMETANGAZA WAZI YATAREKEBISHWA, NI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) ni cham chenye haki zote ya kukamata dola kwa kuwa na watu makini na wenye uelewa mkubwa wa maendeleo ya nchi yeu kwa ujumla Kweli katika ahadi zao ni...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Why does that old tyrant Nyerere look so good today? Well, just look around you... By JENERALI ULIMWENGU Posted Monday, April 18 2011 at 00:00 THE EAST AFRICAN The third Mwalimu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
jana kwenye mkutano wa ccm na wana vyuo kada mkongwe mzee kingunge na wenzake waliwashauri vijana ambao ni makuhadi wa ufisadi kuwa watashonewa mashati ya kijani ili wavae kwenye mihadhara au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA AKISHIRIKIANA NA WABUNGE WOTE WA CHADEMA KWA SAUTI MOJA NA UHAKIKA WAMEDHIHIRISHA KWAMBA WAPO KWA MANUFAA YA WATANZANIA NA KUHAKIKISHA UTAWALA BORA WA VITENDO...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukifuatilia hoja za viongozi wapya wa ccm kuhusu mjadala wa kwamba wanaotuhumiwa ufisadi wajiondoe kwenye chama ama wataondelewa,ni kuwa wao wanaofikiria ni tofauti na wananchi wanaowashutumu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
What next after CCM changes? Sunday, 17 April 2011 09:35 By The Citizen Reporters Dar es Salaam. Despite making changes to its secretariat and central committee, CCM faces difficult times...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Kwa kweli nashindwa kuelewa serikali yetu chini ya mhe Kikwete inaelekea wapi. Kwa sasa mafuta ya aina zote namaanisha dizeli, petrol na mafuta ya taa ni sh. 2000 kwa lita. Sasa najiuliza anakuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimefuatilia kwa umakini swala la ccm kujivua gamba. nimegundua kwa mara nyingine washauri wa jk wamempotosha kweli. na safari hii wamemtumbukiza shimoni. katika kuwaondoka mafisadi katika uongozi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mwelekeo wa hii kamati kuu mpya ya CCM tangu iingie madarakani, kwa sasa ina muda kama wa siku saba hivi, na kwa upande wangu nimeona yafuatayo. Uropokaji na kuongea bila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natambua kuwa CCM ni chama chenye sheria,taratibu na kanuni zake.Nafahamu pia kuwa kama chama huru (hata kama kumekuwa kikiwakumbatia mafisadi kukiendesha) kina mamlaka na uhuru wa kufanya mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
haina ladha kabisa. kila kitu wanachojaribu kubuni kuwashawashi Watz kioaonekana ni kioja kama si kiroja. kama hii ya kujivua ga,mba ilionekana kama itakuwa kitu maarufu, lakini kama mimi binafsi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa miaka ya tisini, nikiwa kijana mdogo kabisa kambini kwetu akaja mgeni. Mosses Nnawie. Kulikua na shuhuli fulani ya kijeshi. Mosses Nnawie alikuwa mhamasishaji wa chama ndani ya...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Jamani wana JF ukistaajabu ya musa utaona ya firauni, Ile siku mkuu alipokuwa anazindua ile barabara ya kutoka mwenge kwenda tegeta ya kilometa 13, kuna watu walimchomekea kwamba eti pale jangwani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani huku kwetu serikali za mitaa hawatoi misaada kwa wananchi kama wewe sio mwanachama wa ccm hii ni balaa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wadau, gazeti la mwananchi la jana, 16/4/2011 lilikuwa na habari kuwa, yale majigambo ya ccm (nape) kuwa wamepokea wanachama 670 pale nyerere square dodoma kumbe walikuwa ni wanafunzi wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom