Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna hoja tundu lisu ametoa kuwa suala la usimamizi wa mahakama lisimamiwe na bodi maalum na siyo kisiasa. Limeleta mvutano na kusababisha kupiga kura kwa kusema ndiyo au hapana. Imeonekana kama...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za kazi wana JF? Ndugu zangu nimepata barua inayoelezea kuwa inatoka ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa, barua hiyo inaelezea kua wakimbizi woote wanatakiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NYOTA ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, imeendelea kung’ara baada ya wabunge wa CCM kumchagua kwa kura 104 awawakilishe kwenye Halmashauri Kuu ya chama hicho (Nec)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Thursday, 14 April 2011 * Lengo kudhibiti matumizi ya fedha * Mukama: Mabadiliko si kujipodoa * January: Kuvaa magwanda si ujemadari * Nape ataka wapinzani kufungasha virago Joseph Damas na...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Waungwana Utaratibu unaotumika kupitisha vifungu wakati bunge linakaa kama kamati haufai,speaker kuamua kwa kusikiliza sauti za ndiyo au hapana na pia wabunge kuulizwa mmojammoja inakuwa sio...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu waTZ na wana CCM wapenda maendeleo naomba mnisaidie kuyajibu maswali haya ya msingi ili taifa letu liweze kusonga mbele na kufika pale tunapopataka. 1. Kuna majigambo ya siku za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wabunge 128 kati ya 350 (sawa na 36.57%) hawajahudhuria kikao cha bunge leo kinachoendelea Dodoma. Kura iliyopigwa leo kuhusiana na kifungu fulani cha sheria kimethibitisha hili. Najua kuna ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kwamba wale watuhumiwa wakuu wa ufisadi, Lowassa, Rostam na Chenge, wameanza kuwekeza kwa nguvu ndani ya Chadema na matokeo yake yataanza kuonekana leo mjini Tabora ambako mwelekeo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, salaamu. Kwa hali inavyoendelea bungeni, mimi na mtazamo huu, Wabunge wetu wanawakilisha vyama vyao, na si maslahi ya wananchi, kwa jinsi bunge linavyoendelea, wabunge hujadili hoja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
…...mheshimiwa spika nadhani ni wakati sahihi wa ahadi ya rais kutekelezwa jimboni mwangu…. Naam! Hizi ndio kauli za wabunge wetu wakiwa bungeni wanataka ahadi za rais zitekelezwe majimboni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Berlin Conference 1884/85 Scramble for Africa Parcelling of land in Africa search for scientific knowledge Imperial ambitions lines and sketchies a.k.a borders Colonies names negated Traditional...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jamani nimepitia website ya CDM, kwenye ile list of shame. Naona Mkulu alishiriki kuingia mikataba ya madini ambayo iliwaondoa watu kwa nguvu maeneo husika. Kumbe huyu mkulu ndo alikuwa engineerer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiwa najiuliza maswali mengi kuhusu kauli ya mzee Makamba na ufugaji wa kuku, kuku wa Makamba anaowasema kwenye kauli yake ni kuku kweli au ameamua kuuzalilisha ufugaji kwa kuuchukulia kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wabunge wanaposhindwa kujieleza kingereza,Je ni tatizo? Nashauri kamati ya Bunge kushirikiana Britsh council kuandaa msasa kwa wabunge kuweza kujieleza vyema katika lugha husika.:confused3:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
namuheshimu sana mwenyekiti wangu F.E.M. lakini Boys II Men yake na JKM ninahisi imekwamisha maandamano ya chama chetu. agenda kuhusu ccm ni nyingi sana; sioni sababu kwa nini maadamano yetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ktk hali ya kushangaza,nimekutana na habari ya kushangaza ktk gazeti la Mtanzania ambalo lilikuwa linampigia kampeni mzee kikwete,EL,RA,yani lile gazeti la kutetea ufisadi limesema ktk ukurasa wa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
KILOSA District Commissioner Halima Dendego inspects one of 50 power tillers bought recently by the district council that have been discovered to be sub-standard on Tuesday. (Photo by John Nditi)
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za asubui wana JF kulikuwa na taarifa za maandamano CDM leo. kwa mwenye taarifa ya kinachoendea atujuze jamani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gazeti la Mtanzania la leo linalomilikiwa na mmoja wa vinara wa ufisadi ndani ya CCM na anayeshukiwa kuwa yumo kwenye orodha ya kutimuliwa ndani ya chama hicho......................gazeti hilo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewapasha wabunge kuwa anaongozwa na kanuni na si matakwa ya wabunge. Amesema hajafungwa kitambaa usoni kiasi cha kushindwa kufahamu anachokifanya anapoongoza vikao...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom