Ukweli ninawafagilia sana hao wazalendo hapo juu. Tatizo sielewi kwannn wanashindwa kuchukua tahadhali na kuondoka ndani ya Magamba,
Hivi hawawezi kuiga ya Makamanda wa kikenya kina Odinga,Prof...
Jamani,
Gazeti la Mtanzania la leo Ijumaa limeibuka na kichwa cha habari kwenye ukurasa wa mbele kinachoelezea ufisadi wa Bilioni 48 ulioibuliwa na Mhe. Kabwe Zitto. Kinachonishangaza ni 'tone'...
na Happiness Katabazi
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mei 25, 26 na 27 itaanza rasmi kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Segerea uliofanyika mwaka jana...
na Mwandishi wetu
HATIMAYE Bunge la Muungano limepata wenyeviti watakaomsaidia Spika kuendesha shughuli za Bunge.
Waliochaguliwa kushika nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Peramiho, Jenister...
Wadau naona CCM wamefilisika na wanataka kuanza kujibu mapigo ya Operesheni Sangara kwa kuzunguka nchi nzima kwa kigezo cha kuwatambulisha gamba jipya la nyoka lilovaliwa kwa wanachama wao na...
*Kiongozi UVCCM adai utawasaidia waliotemwa kuibuka
*Msekwa asema kinachowaumiza ni mbio za urais 2015
SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya kile kinachoitwa ni kujivua gamba...
Kwa uongozi mpya wa CCM ninaomba ninawapeni ushauri wa bure kama ifuatavyo:
1. Hakikisha MAFISADI WOTE wanatoswa na kamwe wasirudi kundini;
2. Fanya mabadiriko kwenye katiba yenu, imepitwa na...
Si wabunge wengi hususan kutoka CCM wanatambua wajibu wao ndani ya jengo lile kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA YA MWAKA 1977 ibara ya 63.-
(2) Sehemu ya pili ya Bunge...
Jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislam, JUMIKI, imeandaa maandamo ya amani ya kupinga rasimu ya muswaada wa katiba ya Muungano.
Maandamano hayo yanayotegemea kufanyika kesho baada ya swalah ya...
Imebainika kuwa Jumuiya ya Wanataaluma(Wahadhiri) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDASA) waliizidi ujanja Serikali kwa kuanza kuujadili Muswada wa Marejeo ya Katiba unaoendelea kuzua sintofahamu...
Kitendo cha ccm kujivua magamba nakuanza kujiandaa na uchaguzi wa 2015 badala ya kujenga nchi na kupunguza makali ya ugumu wa maisha sioni kama ni sahihi?sasa hivi bei ya petrol imefika 2100tsh...
Hivi wadau mke wa Rais ni kiongozi wa serikali? Nimesoma vizuri katiba yetu ya JMT, hakuna ibara hata moja inayotamka kutambua nafasi ya mke wa Rais wa JMT na naamini hakuna sheria inayompa...
Wiki iliyopita serikali iliwasilisha bungeni muswada wa kupitia katiba kwa nia ya kuundwa tume ikakayoratibu mchakato wa kupata Katiba Mpya na iliamua kutoa nafasi kwa wananchi na wadau mbalimbali...
Kwasasa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara.
Katika nafasi hiyo hana ujasiri kama Mzee John Samweli Malecela. Amekuwa mtu wa kulalama.
Amekuwa Spika wa Bunge la JMT kati ya Chief Adam Sapi...
wanachama wa UVCCM waomba uongozi wao ujiuzuru , baada ya kutoa matamko ya kukashfu viongozi wa chama na serikali wastaafu -East Africa Radio news
UPDATE...
Is a mob party, emotional in decisions, likes violence, pessimistic, few ring leaders not national, uses force, influences gang, acts like adolescent who all time feels not free. Likes to provoke.
Ndugu watanzania waaminifu wenye kupenda kuona maendeleo ya nchi yao na ustawi wake kwa ujumla, Salam sana....
Jamani, siku zote mfa maji hakosi kutapatapa, na mara nyingi mtu akaribiapo kukata...
Wanachojaribu kukifanya CCM kujiokoa na kupoteza umaarufu kwao naona hakiwasaidii lalote zaidi ya kusema watapoteza fedha bure endapo watatumia mabadiliko ya juzi ktk CC na Secretariet kujinadi...
embu itazameni hii video kisha dondosha ujumbe wenye akili
http://www.eastafricantube.com/media/46285/Dramatic_video_of_Gbagbo_arrest_as_troops_storm_Iv ory_Coast_residence/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.