Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanajf hivi navoandika jengo la tpsf mwaya rd masaki linawaka moto. Nitawajuza zaidi baadae
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waandishi Wetu, Dodoma Aprili 13, 2011 Yumo pia Chenge, sasa watakiwa kujiuzulu Werema, Malecela, Meghji wawamaliza Richmond, Kagoda na Rada zawaponza UNAWEZA kusema kwamba huu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni hivi majuzi tu, Bwana JK alitangaza CCM kujivua Magamba kwa kuwatimua baadhi ya viongozi. Mimi nasema CCM kujivua magamba tu haitoshi ila naona ni bora mjichune ngozi kabisa ili kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
President Jakaya Kikwete is set to announce a bail out package worth billions of shillings to rescue local companies that have been hit hard by the global economic crisis. The Government's...
0 Reactions
90 Replies
9K Views
wadau nimejaribu kuperuzi siajona thread ya mtu akiwasifu CCM kwa hatua waliofikia ya kujisafisha mbele ya watanzania, naomba niwe wa kwanza kuwapa BRAVOOOOOOO wamesikia kauli za walalahoi na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
MTANZANIA www. newhabari.com/2011/04/10/katiba-yatikisa-nchi/ Ikulu yakanusha uvumi Hata hivyo, akizungumza na Mtanzania Jumapili, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alikanusha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi ambayo watoto wake wengi hawana future kabisa; wala hawafundishiwa kuwa binadamu wengi wa leo hawaishi kwenye mapango au chini ya miti. Standard Three pupils of Chinyarira...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna tetesi kwamba baada ya Chama Tawala kuona RA anatafuna kila senti ya serikali na wananchi wake kwa manufaa yake binafsi bila kugawana "kikamilifu" na wenzake, huku Chama kikichukua LAWAMA...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Juzi katika kile CCM ilichoita kujivua gamba, nilimsikia mzee Chiligati akieleza bayana kuwa wale watu wote wanaotajwatajwa kwenye kashfa za Richmondi na Dowans wajipime na kuchukua hatua za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
*Wapeleka ujumbe wa NEC mkoa kwa mkoa *Nape asema watapambana hadi washinde Na Edmund Mihale, Dodoma CHAMA Cha Mpinduzi (CCM) kimeanza ziara mikoani kupeleka ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwalimu Nyerere aliweka msingi wa taifa. Mwinyi alijitahidi kwa uwezo wake kutupeleka mbele lakini nadhani kwa upole wake aliwaacha watu wakachezea nchi kwa rushwa wanavyopenda na nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya majivuno makubwa kuwa CCM imejivua gamba, leo Mh. Mnyika wakati wa kipindi cha maswali kwa waziri mkuu, alimtaka aeleze kama atakuwa tayari sasa kuzungumzia kashfa ya MEREMETA. Waziri...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Toka juzi habari iliyotawala vyombo vya habari ni ile ya CCM kudai kwamba imejivua gamba, nimetafakari kwa undani juu ya kauli hii nikagundua ni usanii mtupu. Wameamua kuchua mbuzi wa kafara...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Sorry kwa wale ambao sio wahusika, Haihitaji tena kufikiria sana. Ni wazi kuwa probability ya kufanyika uchaguzi wa 2015 kwa katiba tuliyo nayo sasa ni zaidi ya 90%. Naamini kuwa kwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Wadau nawasilisha hoja barazani la kulitaka bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutuomba radhi walipa kodi wa nchi hii, wapiga kura wao na wenye maamuzi makubwa dhidi yao kabla...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tatizo la chama kukaa madarakani muda mrefu ni kutokea recircling. Walewale vijana wa makamba, Nauye, Mwinyi na wengine ndio utawaona kwenye system. Ukienda balozi za nje utawakuta vijana wengi wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kimsingi,nimelimiss sana Bunge la Tisa lililoongozwa na Samwel Sitta kwakuwa lilikuwa Bunge la viwango(mijadala motomoto kwa mustakbali wa Taifa letu).Hili la sasa limejaa vijembe na miongozo ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
JK kwa jinsi alivyo; alikuwa anawanadi RA, EL, CHENGE, na PESA MBILI (Kichaga besa iwiri) kuwa ni watu safi afu leo anasema ni wezi si ujuha huu? mshikaji ni ndumila kuwili.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Matukio ya wiki hii, hasa hili la CCM "kujivua Gamba" linastahili pongezi . Kwa muda mrefu sasa waanzishi wa malumbano ndani na nje ya JF wamekuwa wakiifuatilia kwa makini sana muelekeo wa CCM...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom