KWAKUWA GAMBA LA CCM NI MAKAMBA NA MAFISADI. NA TAYARI WAMESHALIVUWA, BASI GAMBA LA WATANZANIA NI CCM YENYEWE, TUNA KILA SABABU YA KULIVUA. WATANZANI HAWATAKUWA SALAMA BILA KILIVUA KAMA LILIVYO...
Wana JF
Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia...
Kwa mujibu wa tovuti ya CCM hadi hii leo majina ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ni haya yafuatayo:-
WAJUMBE WA KAMATI KUU MPYA YA CCM KWA MUJIBU WA TOVUTI YA CCM.
1. Ndugu Kakaya Mrisho...
Anthony Kayanda
20 April 2011
Kigoma Chama cha Mapinduzi (CCM) in Kigoma Urban District has asked the Kigoma Ujiji mayor to step down for alleged fraud.
The CCM district leadership is...
Zifatazo ni sifa za wabunge (characteristics)wetu
1; Wapo kwa maslahi yao bnafsi na ya chama chao.
2; Hawana uwezo wa kujenga hoja zaid ya kupiga makofi.
3; Hawana uchungu na nchi + wananchi...
Imeelezwa kuwa siasa nchini inaendeshwa katika mfumo ambao ni wakupakana matope baina ya kundi fulani la viongozi kwa lengo la kuchafua sifa za viongozi wa kundi jingine ili kulifanya lionekane...
Alawi Masare
Dar Es Salaam Zanzibar current account balance registered a deficit of $1 million (Sh1.4 billion) during the year ending February 2011 compared to a surplus of $5.4 million...
Ndugu wanaJF wenzangu licha ya kejeli zinazoelekezwa kwa JF kutoka CCM hususan Makamu Mwenyekiti wake Ndg Pius Msekwa, JF kama chpmbo cha habari kimetimiza jukumu lake kilipoisadia CCM kurekebisha...
How could you not distinguish between informal language, official language and national language?
Unataka wawakilishi wawe wanatembea na mashine za kutafsiri lugha na dictionary?
I have...
Baada ya anguko kuu la Makamba na sekretariet yake kama ilivyokuwa ikitarajiwa na wengi hususan wapiga debe mahiri ndani ya UV-CCM wakiongozwa na RZ1, sasa kinachofuatia ni mapinduzi kamili kwa...
Tumeshuhudia kujivua magamba kusiko kwenyewe, kama wanataka lakini kama hawawezi ama hawataki. CCM wanasukumwa na ukelele wa jamii hasa wanapokumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita...
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa...
CHADEMA sasa ndicho chama tawala
Martin Kaswahili
TANGU kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge, na madiwani mwezi Oktoba mwaka jana, nchi yetu imeshuhudia matukio...
Nimesoma makala ya Mwandishi Lula Wandali wa Raia Mwema na niegundua kuwa CCM inakakati wa kutumia majarida yanayoaminiwa sana na Wananchi kumaliza CHADEMA. Kwenye makala yake yenye kichwa...
wanamshangaa kwa jinsi anavyoliongoza bunge, hawajui wasifu wake.
wanapandwa jazba kwa kudhani anakosea sheria, hawajasoma wasifu wake.
wanaacha kufuatilia kinachoendelea ndani ya vikao vya bunge...
Kila leo tunasikia serikali inaboresha mazingira ya wawekezaji wan je, japo serikali hii pia inajitahidi kwa mwendo wa kujikongoja kutimiza matakwa ya msingi (basic), jitihada ambazo haziridhishi...
Kuna wanaobeza ccm kujivua gamba na kubakia na sumu. Gamba si silaha ya nyoka bali sumu yake. Gamba ni ujana tu. Sumu ya nyoka kichama iko katika muundo wa uongozi wa chama, sera zake, uwezo wa...
Baada ya kutoka Igunga alipokuwa jana, kamanda lema leo atakuwa jimboni kwake kwenye chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) akiwa na rafikiye wa karibu aliyekuwa mgombea ubunge Arumeru Mash. kamanda...
Serikali ya Kenya imeshusha ushuru kwenye bei ya mafuta baada ya wananchi kuanza kuandama (lita moja walikuwa wanalipa KShs19 na ushee ambayo ni sawa na kama 342) sisi tunalipa zaidi ya Tshs 540...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.