Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana jamvi Naomba thread hii itumike kwa kila great thinker achague cheo,taasisi au wizara yeyote anayoona anaweza kufit ambayo kama angekuwa kiongozi aseme na andike mammbo gani na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NA STEPHEN BALIGEYA “FUNGENI milango tupigane, tuone mbabe ni nani kati yetu na nyinyi,” hayo ni baadhi ya maneno yaliyotolewa na wabunge, wakati wa mabishano juu ya kanuni za Bunge, Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu sasa, watu wa kusini, hasa mikoa ya mtwara na lindi wamekua na kilio kimoja, barabara, kipande cha kilometa sitini tu, ambacho utekelezaji wake umegeuzwa kuwa wa kisiasa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Chadema ni chama cha kikuu cha upinzani nchini. ni chama kinachojita ni mbadala wa ccm 2015. lkn cha ajabu sijawahi kusikia viongozi wakuu hasa mkuu wa kupamba na ufisadi akiifanya tu mahusiano na...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakati hakuna anayeelewa kwa undani maana halisi ya " kujivua magamba" labda wana CCM wenyewe waliokaribu na CC, kilichowazi ni kuwa CCM imekubali kuwa chama chao kiligubikwa na tuhuma za ufisadi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAPE NNAUYE, NI KIVULI CHA BABA YAKE AU MWENDELEZO WA USALITI??? ninapo sikia jina la Nape Nnauye linanikumbusha enzi ile ya baba yake mwandani wa baba wa taifa mwalimu julius nyerere!! baba yake...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni ishara nzuri kwa mh. Rais kukutana na vioungozi wa Jumuia za wafanyakazi na kuzungumza nao, akiwemo kiongozi aliyemtambulisha kama ndege aitwae gong’ota (ndg. Mgaya) katika kile kikao chake na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja! Kweli Chadema ni...
4 Reactions
168 Replies
14K Views
Tuseme hii ni kuwacheza shere wazanzibari wamini kama nao wamo katika jumuiya ya East Africa kama walivyokuwemo kabla ya kuvunjika au ni sababu za ujuha waliokuwa nao mpaka kufikia kufanyiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote mwenye kero/changamoto zinazolikabili jimbo kwani pia ni wilaya mpya na ni eneo pekee lenye hospitali iliyotengwa kwa utoaji tiba ya T.B,ninawiwa kuwa karibu na hii wilaya na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, nimekuwa nifuatilia mjadala unaoendeshwa na Star Tv na hata baadhi ya Magazeti kuhusu na utendaji wa SPIKA - MWANAMKE. Kamati kuu ya CCM ndiyo iliyompitisha Spika tuliye naye...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Mbn leo cjackia habari za kile chama cha magamba TBC? au ndo mbio za sakafuni?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sylivester Ernest 21 April 2011 Dar Es Salaam — The government should take urgent measures to alleviate economic hardships that the majority of the population is facing lest the protests taking...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nitatoa mifano michache ya kinafiki iliyopatwa kufanywa na ccm na viongozi wake wa serikali. Baada ya slaa kutangaza majina ya mafisadi ile list of shame rais kikwete alisema kelele za mlango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana malalamiko yanayotolewa na ima viongozi au wanachama hai na mfu kuhusu malalamiko mengi juu ya CCM. Sasa napenda kuuliza, iwapo kama CCM ikiwatimua mafisadi wote na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeangalia taarifa tbc sijaamini mkuranga hadi leo wanafunzi wanasomea chini ya miembe. ccm wanasema mkiwachagua wabunge wa upinzani hawawezi kuleta maendeleo. Je, mkuranga kuna mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Aprili 20, 2011, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nakwazwa na mawazo kila siku kujaribu kuona logic ya mfumo huu wa Bunge wa kuwashirikisha Wabunge wa Zanzibar. Huwa najiuliza wanawawakilisha nani hasa? Naomba jamvi linipe elimu juu ya hili.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika mjadala wa muswada wa katiba uliofanyika Zanzibar,wazanzibar waliojitokeza katika mjadala huo sio tu waliupinga muswada huo,bali walisikika wakiukataa na muungano pia.Katika fikra zao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
If I were one of these gentlemen (EL, AC and RA), wouldn't have resigned or surrendered. Because, unfortunately none of those big shots in the Party (CCM) is immune of corruption. For a example...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Back
Top Bottom