Najua sasa hivi tupo kwenye kikao cha tatu tu cha Bunge na kwamba mpaka ikifika miaka mitano (2015) mengi yata jitokeza. baadhi yenu mnaweza kusema nimapema mno kutafakari wabunge gani mpaka sasa...
Dr pole kwa mapambano ya kulikomboa taifa hili. naomba nishauri kupitia jf nadhani ujumbe utakufikia. si jambo jipya lilishasemwa sana ila nataka kujua hatua iliyopigwa. tunashauri kuhusu kufungua...
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi wake katika Bunge, yaani baada ya kuona kuwa watu wote nchi nzima hatuwezi kwenda Dodoma kujadili mambo yanayohusu maslai ya Taifa letu, tukaamua kuwatuma...
Penda msipende kwa kijana yeyote aliye CCM au anayejiunga na CCM kwa sasa aidha ni kwa kwa maslahi fulani binafsi, au kapewa fulana au anaupungufu wa kufikiri kutokana na ujinga (ujasiri wa...
Wadau nimesoma gazeti la mtanzania toleo la leo jumapili tarehe 27 february 2011 kuna makala isemayo siku za CCM zinahesabika,pia main headline inazungumzia anguko la pato la taifa kutokana...
Kitendo cha vyama vya siasa kushindwa kupeleka hesabu zao kukaguliwa kinaashiria nini ktk dunia ya uwazi na ukweli?Nilitegemea CCM na Chadema wangekuwa wa kwanza kupeleka hesabu zao.Chama...
Dhana ya kujivua gamba ni mbaya kwa sababu nyoka anapojivu gamba huwa anakua kijana zaidi,hivyo anaongeza muda wa kuishi zaidi na anakua na uchu na hasira kuliko mwanzo,hawa waliojivua gamba ni...
Kutokana na mapambano ya kulikomboa taifa hili mara ya pili kufikia mahali pazuri ningependa kumkumbusha/kumshauri amiri jeshi mkuu wa mageuzi dr Slaa afanye kikao kikubwa na wasanii wote wa nchi...
hivi taaluma za watanzania huwa zinaheshimika? naona kila mahali wanasiasa ndo wameshika atamu, daktari bosi wake mbunge, enginia kwa diwani hakoi, hakimu naye hana pakupumulia, kuna taifa...
KATIBU kata wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Iringa Vijijini, Patrick Ngara (40), mkazi wa kijiji cha Ilandutwa, ameuawa kinyama kwa kucharangwa mapanga akiwa nje ya nyumba yake usiku wa...
Kikwete, hili ni lako, usiwaachie wadogo zako
Jenerali Ulimwengu
Aprili 20, 2011
BAADA ya kukaa wiki kadhaa bila kuonekana katika safu hii, wiki hii narejea ulingoni kuendeleza mjadala...
Kwa nchi yetu na nchi nyingi chama tawala ndio uunda serikali na mara nyingi matendo na maamuzi ya chama utekelezwa na serikali, kwa maana nyingine serikali ndio kioo cha chama.Baada ya kusoma...
La mgambo limelia, kila mtu kasikia,
Magamba nayatupia,kujiweka asilia,
Wengi walinililia,hamsini tanzania,
Kujivua kwa magamba, sio kwamba sina sumu,
Sio kwamba sina sumu,nilipovua magamba...
Dk. Slaa afichua mabilioni ya Rostam
Asema anapokea bil. 280/- kwa mwaka, ataka akamatwe
Na Joseph Senga
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa...
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli!
Suala la...
Aina zote za chuki lazima zisahauliwe, iwe chuki ya kitaifa au chuki ya kidini kadiri ya watu watakavyo shikilia kwenye chuki hatutakuwa na amani duniani vita vyote tulivyokuwa navyo katika siku...
ni mdau wa karibu sana wa JKM,pia alipewa fungu ktk pesa za epa na akashiriki ktk kutumia pesa zile kufungua kiwanda,akiwa na wenzake MWITA,SHEWEJI na yeye mwenyewe KIGWANGALA kiwanda kikaitwa MSK...
Mimi ni kati ya vijana wanaofurahishwa sana na jukwaa huru la chambuzi mbalimbali zinazofanyika humu ndani ya Jamii Forum, na kinachonifurahisha zaidi ni pale watu wanapoibuka na hoja nzito na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.