Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chama Cha Demoktasia na maendeleo kimejikuta kikitetea mafisadi ambao CCM imetangaza kuwatosa! Chadema badala ya kubeza kwa miaka mingi kuwa CCM haina ubavu juu ya mafisadi hao sasa haiamini kile...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Jamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Nimesoma kwa makini maoni ya Mwanakijiji pamoja na maoni ya Slaa,Zitto,Lwetama n.k.Nilichokibaini cha msingi hapa ni kuwa Mwanakijiji ameanza kupata wasiwasi na mbinu inayotumiwa na CDM katika...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Historia ya tzbara hainyeshi popote kwamba kuna mtu ataejitolea kutoka ndani ya CCM kwa mustakabali wa taifa letu kama vile walivyofanya maalim seif, hamad rashid. Juma Duni,marehemu sudi Yussuf...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
"Hata hivyo, baada ya kura hizo hoja ya Lisu ilitupiliwa mbali baada ya wabunge 152 kuikataa dhidi ya wabunge 69 akiwamo ya Pinda kuikubali. Wabunge 128 hawakuwapo bungeni". wajameni hiyo hapo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna siku nilisema kuwa watz wengi tunapelekwa pelekwa na matukio bila kuzingatia mambo ya msingi kwanza, kitu ambacho hata vyombo habari navyo huchangia. kwa mfano Loliondo imeteka sana fikra za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa hakika sijawahi kuona hili Kwa mtizamo wangu niliamini watanzania wa hali ya chini waatakuwa wa kwanza kukimbilia huko la hasha Mungu ametufumbua macho tunaongozwa na serikali iliojaa waumini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamii ya kitanzania ni jamii ya watu wa aina mbali mbali kama zifuatazo: 1-Wakulima 2-Wafanyakazi 3-wafanyabiashara 4-Wanasiasa 5-Wafugaji Lakini kwa hali ya sasa inaonesha ya kwamba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wednesday, 20 April 2011 09:21 By Al-amani Mutarubukwa, The Citizen Reporter Dar es Salaam. It is easier to enforce contracts in Zanzibar than in most small island economies due to an efficient...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
kamanda mpambanaji mh. godbless lema leo majira ya saa tisa mchana atawasha moto igunga baada ya jana kuwasha moto nzega. ila leo mheshimiwa sana dr slaa, maberemarando , mpendazoe, wataungana...
12 Reactions
188 Replies
16K Views
Halmashauri yamuadhibu diwani wa CHADEMA na Julieth Mkireri, Kibaha HALMASHAURI ya mji wa Kibaha Mkoani Pwani imetoa siku saba kwa Diwani wa Kata ya Tumbi kwa tiketi cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KUNA MENGI SANA ambayo siwezi kuyakana ndani ya nafsi yangu yamefanywa kuwa ufanisi na CDM kwa stahili ambayo inawafanya CHAMA CHA MAGAMBA kuweweseka mpaka sasa kwa hilo nawapa pongezi maana mziki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natamani Kuishi Tanzania Na si Tanganyika Salaam ndugu zanguni wapendwa ndani ya jukwaa hili la JF, ni matumaini mpo na siha njema kabisa. Leo nami nimeonelea kuingia tena kwenye jukwaa la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ahoji pia kama kweli aliyeshauri kutumia kauli-mbiu hiyo, kama ana akili nzuri. how come CCM kujifananisha na nyoka? source Mtanzania.
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Waziri Chiligati aonja machungu 2008-09-18 10:59:41 Na Richard Makore na Hellen Mwango Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kapteni John Chiligati, juzi jioni alijikuta katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kusahihishwa kama nitakuwa nimepotoka, maana sielewi kitu kuhusiana na baadhi yetu kutaka CCM ipongezwe kwa kujivua magamba na wengine kudai sasa CDM inatumiwa na mafisadi dhidi ya CCM ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, nadhani mmepata kumsikia ndugu mheshimiwa sana bwana Jk akipata kunena hayo, Binafsi sijamwelewa haswa anamaanisha nini na kwa upande wake hutumiaje hayo atakayo sisi tuyashike ktk...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wenzangu wana JF najua wengine mna hasira za ghafla lakini tujadiliane hili. Wakati Mheshimiwa Chenge akiwa Mwanasheria mkuu Katiba yetu ilifanyiwa marekebisho na yeye aksaini katiba ile ya mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kunani Arusha? Nini kinaendelea? Mbona tena WabongE wa chama Twawala walipitisha budget? Nilifadhaishwa sana na hawa mafisadi, kwa nini wanatumia mabavu na udikteta?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom