Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa mawazo yangu imefika wakati wa viongozi wa Tanzania wa CCM na wapinzani kuanza kuwahusisha Watanzania wanaoishi nje kwenye agenda za maendeleo ya nchi. Ingawa Watanzania sio wengi kama...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Arusha; Tarehe: 19th April 2011 Habari Leo FEDHA za ubani kutokana na kifo cha aliyakuwa mfuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ismail Omari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ajari ya mabasi mawili ya abiria imetokea leo asubuhi katika daraja la Igombe mkoani Tabora, ajari hiyo imeyahusisha mabasi ya Muro na Sia Bus. Mashuhuda waliopo eneo la Tukio wanasema kuwa mabasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu Zangu, WAKONGO wa Kinshasa na kwengineko wanaujua wimbo huu; ”Papaa Mobutu ee, lokuta monene, oy'akanisaka, MPR ekokufaha, wayahaa, Tata Marechal, tikala libela, tata...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Centrist(mlengo wa kati) parties are vague and ill defined.They are characterized by what they lack in terms of ideological groundings and political principles as by what they...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaura Kimani Nairobi - East African presidents watching Ugandan protesters clash with security forces last week over the skyrocketing prices of fuel must have been wary of a spillover into their...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
baaa ya rais aliedumu muda mrefu kuandamwa kila pembe ya dunia baaae chama tawala kilichodumu miaka mingi?jee watz badoo tutakuwa nyuma na mabadilko hayo? kulinda mani, utulivu na umoja?njaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nampa hongera nyingi Dk. Chegeni kwa kuweza kuwatumia Police vizuri hadi kuokoa maisha yake. Nampa POLE "yatima" Dk. Mwakyembe ambaye kila njama dhidi yake haifanyiwikazi na Polisi badala yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi watu wa Tanzania mbona hamna shukurani? CCM imekutoeni mbali, kumbukeni CCM imezaliwa na TANU na ASP, kwa hiyo Bila CCM watu wa bara na visiwani msingepata uhuru. Mazuri yote mnayoyaona...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
By Makwaia wa Kuhenga 'The Western media is awash with the huge war effort to tame Colonel Gaddafi as if he were some invincible force. Those of us who witnessed his troops being mowed down are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya mkoani Geita ambaye pia ni Diwani wa Nzera kwa tiketi ya CCM, Joseph Musukuma, anawahamasisha wananchi kufanya maandamano na kulala barabarani kuanzia tarehe 29...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, ningependa kufahamu kama kuna utofauti kati ya halmashauri zinazoongozwa na upinzani (specifically CHADEMA) na zile zinazoongozwa na CCM kwenye taarifa ya kamati ya Hesabu za Serikali za...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Umakini unaonekana kwa vitendo, na kazi ya mtu au kikundi chochote inaonekana kwa mafanikio na matukio. Chama cha Demokrasia na maendeleo kimekuwa mstari wa Mbele kutetea wanyonge, kufichua maovu...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Tuesday, 19 April 2011 Gazeti la Chama Cha CCM - UHURU * Siasa chafu zamweka mtegoni * Rage, Munde wamzodoa Tabora Na Waandishi Wetu VIONGOZI wa vyama siasa nchini wametakiwa kuacha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni hali ambayo imemuacha kila mtu domo likiwa wazi baada ya kugundua kwamba CCM ilipandikiza wagombea wake 4 ambao katika hao wawili ndio wamefanikiwa kupitishwa na screening commette ambayo nayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*Kamati yaundwa kubuni utaratibu mpya wagombea urais *Yaelezwa wa sasa umejaa rushwa, chanzo cha mgawanyiko Na John Daniel KATIKA mkakati wake wa kujisafisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii sinema inaelekea episode za mwisho mwisho. Na utabiri wangu ni kuwa pamoja na harufu za damu za wenye kuhisi kumiliki chama; pia CDM itakumbwa na mtikisiko mwingine mkubwa kupiti viongozi wake...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekua nikufuatilia kwa makini tangu wiki iliyo pita baada ya kile kilicho elezwa nkuwa ni kujivua gamba kwa CCM ssa ni dhahili kila mtanzania ameanza kuimba wimbo wao wa kujivua gamba iwe ni kwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Gazeti la NIPASHE, leo Tar 18, ukurasa wa 14 lina habari inayosema; "Chadema yaapa kula sahani moja na Profesa Mwandosya" Ni maelezo jinsi Mwandosya anavyokihujumu chama hicho kwa kuwarubuni...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
JK ameshindwa kunusuru chama chake Na Saed Kubenea - Imechapwa 13 April 2011 RAIS Jakaya Kikwete ameshindwa kukiokoa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka katika tope la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom