Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wananajamvi nauliza: Hivi amani huombewa (au huombwa), kuihimiza au kuijenga? Nifafanue kidogo: Hapa nina maana kipi kinakuja cha msingi zaidi kuliko kingine: kuomba tu na kuhimiza kuwepo amani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, mimi ni msomsji wa makala mbali mbali ambazo mwandishi mahiri, Ndimara Tegambwage huzitoa magazetini, hususan kwenye gazeti PENDWA la Mwanahalisi. Kinachonishangaza ni kuwa, kwa karibu wiki...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Muswada wa katiba mpya uliopendekezwa na serikali na hatimaye kujadiliwa na wanaharakati, wanasiasa pamoja na wananchi katika kongamano la pili la katiba iliyoandaliwa na UDASA na kufanyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefatilia toka tuanze kujadili suala la katiba hapa JF na wale wanaoandika katika magazeti na hata kwenye runinga neno MAREKEBISHO ya katiba lina tumika sana. umekuja muswada na wenyewe heading...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
rais ameombwa kuminya kiuchumi vyombo vya habari binafsi ili kuimarisha vijarida vitakavyoanzishwa na UVCCM.Mawasiliano kati ya viongozi wa umoja huo yanaonyesha kumwomba rais JK kumuagiza katibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF Vyama vya upinzania upande wa Zanzibar vinampango wa kuishawishi serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa maandamano ili nafasi za rais za kuteuwa wawakilishi kumi wateuliwe watu wengine...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu, Ni swali la kizushi tu. Katika mawaziri waliopwaya wakiwa ujenzi ni Dr. Kawambwa. Ilikuwa kama wizara haina waziri. Ni kama alipokuwa wizara ya maji. Lakini nyakati zote hizo hatujawahi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
JK ameendeleza rekodi yake ya kusema hajui na anashangaa kuhusu mambo muhimu kabisa ya maisha haya ya watanzania.Alinukuliwa akisema(na ameungwa mkono na Waziri Mkuu wake,Pinda) kuwa hajui kwanini...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeangalia news za chanel ten na clouds tv wametangaza yule MKUU wa Idara ya Organaizesheni Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amelazwa katika Hospitali ya Taifa...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
KADA wa (CCM) David Msuya Mkazi wa Kibaha mkoani Pwani amemshukia Katibu Mkuu wa CCM Yusufu Makamba akidai ameshindwa kukiongozi chama hicho na kumtaka ajiuzulu. MwanaCCM huyo amesema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu wana JF, Nimejaribu kupitia kwenye website ya bunge kutafuta namba ya Mbunge wangu wa Nyamagana Bwana Dibongo Wenje lakini nimekuta profile yake hainna contacts zozote na nikaenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kati ya mambo aliyoyaongelea ni kuhusu suala hili la kutoza kodi kwa kutumia mashine hizi. Alisema anawaomba wafanyabiashara watoe ushirikiano kwa kutumia mashine. Sasa ninajaribu kujiuliza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA ARUSHA(BAVICHA) P.0.BOX 12525 ARUSHA TEL.0754 834152 Email.arushabavicha@gmail.com Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) TAMKO LA BAVICHA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tofauti na ilivyokuwa tabia yake huko nyuma ya kuamini kuwa Wizara ya Ujenzi na wakala wa barabara TANROAD ndio Alfa na Omega katika masuala ya barabara, jana wakati wa uzinduzi wa barabara ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
siku za hivi karibuni BAVICHA imekuwa na nguvu na kuonekana kuwa imetengwa sana, naomba kujua kwa undani zaidi.je malengo yaliyowekwa yanatekelezwa? Je vijana wameisha wafikia au watawafikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zanzibar. Amendments to the 10th Zanzibar Constitution have been a catalyst for the overhaul of the Union Constitution, the national chairman of NCCR-Mageuzi, Mr James Mbatia, has said...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Balozi wa EU nchini Mr Tim Clarke amekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya mawaziri nchini kwamba Chadema inapata msaada wa kifedha kutoka mataifa ya nje (5 kutoka EU). Bolozi amesema...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
MHESHIMIWA JAMES MBATIA WANANCHI TUMECHOKA KUONA UNAKUWA MKEREKETWA WA CHAMA CHA MAPINDUZI. Mheshimiwa mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia sisi wananchi wa Mkoa wa Kigoma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoani Kigoma, imefuta kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mbunge Zitto Kabwe (Chadema) kutokana upande wa mashitaka kushindwa kuleta maelezo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (Bavicha) ngazi ya taifa, linatarajia kufanya uchaguzi mwezi ujao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mbunge wa Ubungo kwa tiketi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom