Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndio wanafanya mkutano hivi sasa wanaongelea kuhusu hali ngumu ya maisha, kupanda kwa bei za vitu .wanasema eti inatokana na hali ya kisiasa zinazoendelea nchi za libya wanawaambia wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amesema hivyo mbele ya waandishi wa habari aliporudi kutoka ulaya na India kutibiwa yeye na familia yake. Kwamba ni wajibu wa serikali kutibu viongozi nje ya nchi ili wawe na afya njema waweze...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wazungu wamedanganya sana juu ya Africa na mwafrica kwa makusudi kabisa.John Hanings Speke 1860,anamweleza mwafrica hivi..kama alivyofanya baba yake huko nyuma ndivyo afanyavyo hadi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu watanzania naomba mjue viongozi wetu walivyo wezi, jk na aliyekuwa mbunge wa bukombe (2005-2010) wanamiliki mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya Taifa ya KIGOSI kinyume na utaratibu. Hakuna...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
MWANANCHI Waingereza wafuatilia utendaji wa JK Send to a friend Sunday, 27 March 2011 05:46 RAIS Jakaya Kikwete atalazimika kupunguza safari zake nje ya nchi na kutumia muda mwingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
bahati mbaya jamani mimi siyo ngwini. siwezi kuandika vitu vingi. lakini ukweli ni kuwa tunakoelekea itakuwa ni aibu mtu kusimama na kusema ni mwana-ccm. kama thread hii inaboa, please mods, take...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Kwa mara nyingine tena CCM kimetwaa kiti cha umeya ktk manispaa ya Sumbawanga baada ya meya wa awali kujiuzulu kutokana na "kashfa" ya kuwa na elimu ndogo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ktk uchaguzi wa mwaka 2005, JK alipita kwa zaidi ya 80%. Ktk kipindi chake cha kwanza kumetokea misukosuko mingi ikiwemo mjadala wa mahakama ya kadhi na OIC. Ktk uchaguzi uliopita, 2010, kura zake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
People RecordFrançais Português Contact UsBrowse by TopicBrowse by Country Name Sophia Simba Surname Simba First Names Sophia Alternate Name Sofia Simba Title Country of Birth...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
  • Closed
Kwa yoyote alie angalia vyombo vya habari ataona kabisa jinsi ambavyo CCM wanajikanganya juu ya rais ajae!na kwa maelezo ya Makamba utagundua ni kwa jinsi gani CCM hawamtaki Sumaye,kwani kitendo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani wanajamii nilikuwa naangalia kwenye skynews reaction za watu mjini london kuhusu "spending cuts" nikawaza na ikaniuma sana nikilinganisha na Tanzanaia yetu hapa: 1. watu wanaoutufadhili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakina makamba,chiligate,hiza na wafuasi wao,washindwe walegee waanguke chini.wanawadanganya watanzania.tumesha amka.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, ingekuwa tz yetu ya siaaaasa nyingi na utendaji mdogo ingewezekana???? Here's the picture of the Road shortly after the earthquake. Passing on the great Highway, it would seem that the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wiki iliyopita nilisoma katika gazeti mojawapo kuwa katiba ni 2014. Hapo nikapata picha ni usanii ambao umeshapangwa na watawala. Je watanzania tutavumilia tena upuuzi 2015 hadi 2020??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By Mwinyi Sadallah 27th March 2011 Zanzibar First Vice-President Maalim Seif Shariff Hamad Zanzibar First Vice-President Maalim Seif Shariff Hamad (pictured) underwent surgery...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni hivi majuzi kulikuwa na fukuto ndani ya serikali kuhusu bomoa bomoa ya magufuli huku pinda akimpinga wazi wazi. Wanaharakati na wanazuoni wakamshauri magufuli ajiuzulu ili kulinda heshima yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi ccm vijana wao ni miaka kuanzia mingapi hadi mingapi?au hawana vijana wanao waamini?ccm habari yenyu bana...!!??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Re: Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?Ndugu zangu, nimechelwa sana kujibu tuhuma dhidi yangu kwani ni mimi Dickson Amos Ng'hily ndo nilituhumiwa kumtukana Rais Kikwete....Nway...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wana jamiiforum aka great thinkers. Mimi ni kijana mdogo nina miaka 25,sikupata kumuona nyerere uso kwa uso lakini alifariki nikiwa nina ufahamu mkubwa tu wa mambo mazuri aliyofanya katika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom