Rafiki Zitto,
Nakuandia ushahuri huu kwa dhati kabisa, una haki ya kuuchukua au kuupuuza.
Nakushauri kwamba kwa jitihada ambazo umekwisha kuzifanya mpaka sasa juu ya N.S.S.F kuuziwa Mgodi wa...
nimekua nikiona na kusoma mawazo ya watu mbalimbali eti oh nchi inafukuta si mda mrefu watu wanaweza ingia barabarani kama nchi za waarabu
kiukweli mapinduzi tanzania ni ndoto kama mnashindwa tu...
March 15, 2011
Avenging Altar Boy
By MAUREEN DOWD Off Todays NYTimes.
PHILADELPHIA
The district attorney is burning a eucalyptus-spearmint candle on his desk.
"I think the press looks down upon...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
1.0 UTANGULIZI
Kamati ya kudumu ya Bunge ya kusimamia mahesabu ya Mashirika ya Umma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Zitto Kabwe,MB (CHADEMA) ilifanya ziara...
Na Jabir Idrissa,
TAASISI nne zisizo za kiserikali zilizosajiliwa Zanzibar zinafanya kazi muhimu kwa sasa ambayo miaka ya nyuma isingekuwa rahisi kuifanya.
Zanzibar Indian Ocean Research...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 18/03/2011 // Habari // 6 Comments
Na Khamis Amani
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wa Kambi ya Bavuai Migombani, amefikishwa mahakamani...
Tokea mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapa Tz, vyama vya upinzani vimekuwa vikipokezana kuwa na nguvu na kuongoza upinzani hapa nchini. Kwanza ilikuwa ni zamu ya NCCR Mageuzi 1995-2000...
17 March 2011
BAADHI ya wabunge wamepinga mapendekezo ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2011/12 inayofikia Sh 12 trilioni kwa madai haikuzingatia kuweka vipaumbele katika maeneo muhimu kwa...
Kama watendaji wa Same wameiba, wapelekwe mbele ya sheria na sio kukatwa 15% mishahara kama anavyoamuru Mrema.
Kulishtaki kwa wananchi baraza la mawaziri kwa kutofikia maamuzi kwa kuelekezwa...
Viongozi wa kisiasa wamejaribu kila wawezalo kuwanyamazisha viongozi wa dini hasa pale wanapokemea au kukosoa vitendo vya kidhalimu. Mara wamesemakana kuanzisha udini na kadhalika. Mara nyingi...
Is Kikwete the most useless president Tanzania ever had? Was Nyerere justified in denying him the presidency?
All indications are that President Jakaya Kiwkete will be announced the winner of...
Nilihisi mapepo yako bungeni Dodoma tu kumbe hadi Ufaransa? Kazi ipo
TUMEZOEA KUMWONA MH KOMBA AKISINZIA NA KUKOROMA DODOMA SASA HUYU SIJUI TUMWITE JINA LA MNYAMA GANI
Jamani,
Hiyo ni...
SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukituhumu Chama cha Wananchi (CUF) kuwa ni mamluki wa Chama Cha Mapinduzi wenye lengo la kukichafua na kujenga uhalali wa kuzuiliwa...
Rais Kikwete ametii agizo la Dr. Slaa la kupunguza bei ya bidhaa muhimu na kutoilipa DOWANS. Daktari huyu alimpa JK siku tisa ili atatue matatizo hayo. JK alijaribu kulialia ili aongezewe muda...
Is it within presidential mandate to arbitrarily set aside/over-rule any mundane decisions arrived at by Board of Directors/Management of any (public) institution in the country?
Why would...
Greath thinker Salaaam
Tulifundishwa ili tundee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI, NA UONGOZI BORA
naomba nilete changamoto ya uongozi. na tuingalie kwa upana wake. tujimulike kamaviongozi...
Chama cha Wananchi (CUF), kitafanya ziara ya awali ya siku 15, kuanzia keshokutwa, katika mikoa sita ya Tanzania Bara na Zanzibar, kwa lengo la kuwashukuru wapiga kura na kuishtaki serikali kwa...
Hivi karibuni na kwa miaka kadhaa sasa Tanzania imekabiliwa na matatizo ya umeme kiasi kwamba kumekuwa na makundi mawili , moja linye kushabikia kuwaibia waTz kwa sababu ya hayo matatizo na kundi...
Privatization, Sustainable Economic Growth, and Human Development in Developing Countries is a "must read" for researchers, scholars, and development studies students whose focus is on Africa and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.