TANleaks imepata taarifa za wazi zenye uthibitisho kuwa mradi wa uwekezaji uliopo Nairobi uliopaswa kufadhiliwa na NSSF umesimama. Kusimama kwa mradi huo kunatokana na NSSF kukataa kutoa fedha...
Kuna tetesi nilizipata jana kuwa hali si nzuri sana kati ya mwenyeki ti na sekretarit ya ccm . Habari hizo ambazo bado ni tetesi zinasema kuwa inaonekana mwenyekiti anampango wa kuwatosa...
Mh. Dr. Slaa, wasaidie na Uganda na People's Power yako... Siasa za bongo bwana... mambo kudharauliana tu kwamba hakuna wa kung'amua.
Fast-rising inflation threatens Uganda Send to a friend...
Jaribu kuangalia video hii utaona
George Ayittey: Cheetahs vs. Hippos for Africa's future
YouTube - George Ayittey: Cheetahs vs. Hippos for Africa's future
Good Day
Tuesday, 15 March 2011 23:17
Dar es Salaam. Seven civil organizations yesterday filed a petition at the High Court seeking nullification of the newly enacted Constituency Development Catalyst...
CCM imekuwa chama chenye nguvu kwa sababu ya pesa walizo nazo au wanazo-control, kuiba (kama vile EPA) na michango ya mabilioni kupitia wafanyabiashara ambao baadhi yao hupata mwanya ya kufanya...
RA amesema yeye ni mwanasiasa makini na kamwe hababaishwi na wanasiasa uchwara.
Amesema maisha magumu kwa watanzania hayatokani na CCM, bali mfumo wa kidunia unaoendana na hali halisi ya sasa...
Sasa kaeni mkao wa kula kuipata ile single CD ya muheshimiwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema kuhusiana na vurugu na vifo vilivyotokea jijini Arusha!
MAANDAMANO ya kuunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi uliopita, yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Machi 16, mwaka huu, yakiwa na ujumbe ‘amani yetu bado...
Wadau wanasema kuwa kabla ya kuamua kuchukua tena fomu za kugombea Urais, Jakaya Kikwete alishikwa na hofu kubwa sana na akasita kuchukua uamuzi. Hii ni baada ya kusikia kutoka kwa watu wake wa...
Wabunge waikaanga TRA kuporomoka kwa uchumi Send to a friend Tuesday, 15 March 2011 20:54 0diggsdigg
Leon Bahati
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema matatizo ya mgawo wa umeme nchini...
MWAKA 2010 ulikuwa wa kihistoria kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokana na mafanikio makubwa kiliyoyapata kisiasa.
Kwanza kabisa CHADEMA ilifanya vizuri sana katika Uchaguzi...
Kwa muda mrefu serikali imeshindwa kudhibiti bei za bidhaa mbalimbali,nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 1980 aliyekuwa waziri mkuu marehemu Edward Moringe Sokoine aliendwsha zoezi la kuwakamata...
Wabunge wajadili mitambo ya Dowans gizani
Monday, 14 March 2011 21:29
Leon Bahati
SIKU ya kwanza ya wabunge kujadili mpango wa kubadilisha sheria ya manunuzi ili serikali iruhusiwe kununua...
Tunaomba CCM wawambie wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Nilini makao makuu ya Nchi ya tahamia Dodoma??Na kama huo mpango ulishakufa basi wawambie wananchi ili wizara zilizopo Dodoma...
Ifuatayo imeripotiwa na Majira.
UVCCM hawana mamlaka kutung'oa-Chiligati
*Makamba asema hayo ni maoni ya vijana
*Lowassa ahoji nani asiyeona uchumi ulivyo?
Na John Daniel
KATIBU wa...
TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.