Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa...
24 Reactions
156 Replies
5K Views
Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Anaandika Mwanasheria Garatwa Francis Awali ya yote nitumie nafasi hii kumpongeza mtaalam wa Idara ya IT - Makao Makuu ya CHADEMA Taifa, kijana mwenzetu Remigius Selestine kwa ujasiri wake wa...
5 Reactions
10 Replies
854 Views
Hii ndio Taarifa Mpya inayotamba mitandaoni kwa sasa Habari kamili hii hapa
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama...
9 Reactions
15 Replies
764 Views
Kwa sasa kilio kikubwa cha vijana ni ajira ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa...
3 Reactions
66 Replies
1K Views
Najiuliza tu kwanini wafuasi wa Chadema waliokuwa wanamchukia Shujaa Magufuli ndio hao hao Leo wanamchukia mno Tundu Antipas Lisu Akina Maranja, Yeriko na Boni Yai wakiongoza Sijajua tatizo ni...
0 Reactions
6 Replies
322 Views
Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki...
25 Reactions
66 Replies
2K Views
Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi...
0 Reactions
12 Replies
252 Views
Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
1 Reactions
3 Replies
101 Views
Katika hotuba ya leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, alizungumza kwa nguvu kuhusu hali ya umaskini na haki ya wananchi kuamua hatma yao. Alikazia kwamba, kama miongoni mwa...
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi...
9 Reactions
75 Replies
2K Views
Msimamo ndio huo kwamba kila Mtu ashinde mechi zake Kati ya SADC na EAC Ikumbukwe Tanzania ni mwanachama wa SADC na EAC na tunamuunga Mkono Raila Odinga Source Citizen TV Mlale unono 😀
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Binafsi naamini kampeni zinapaswa kuanzwa mapema kwa jambo lolote lile kama nia ni kushinda. CCM wameshateua mgombea Urais tayari japo sijui kama sheria ya uchaguzi inawaruhusu kafanya hivyo...
1 Reactions
17 Replies
254 Views
Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa...
1 Reactions
7 Replies
561 Views
  • Redirect
Wananchi wa Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini mwa Tanzania wameeleza kukerwa na mitungi ya gesi yenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, wakisema inashawishiwa na rushwa katika mchakato wa...
11 Reactions
Replies
Views
Bungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe...
1 Reactions
12 Replies
229 Views
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi na utambulisho wa mgombea pekee wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, yatakayofanyika Februari 15, 2025...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Hivi karibuni Tarehe 19 January, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM alisema kwamba amekuwa akipata...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya...
1 Reactions
16 Replies
291 Views
Back
Top Bottom