Wakuu,
Joto linaongezeja huko, mwendo wa makomboro kurushwa tu kila tu. Ila Chatanda kuna kitu anakitafuta 😂😂.
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius...
Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT
Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru...
Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake.
Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani.
Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani...
Saudi Arabia ilitangaza ununuzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, kama sehemu ya mradi wa “East Gate,” ambao unalenga kuboresha nafasi ya Saudi Arabia kama kitovu cha biashara duniani...
Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo.
Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake...
Wakuu,
Huu uchaguzi kiboko!
====
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti katika vijiji vya Uswaa, Mamba na Kiselu katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamelalamika kuenguliwa majina yao...
Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania.
Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu...
Wakuu,
Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala?
=====
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni...
Ikiwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, leo nimeona tuwakumbuke wabunge wa zamani na hapa tuanzie mwaka 2010 kurudi nyuma.
Mimi naanza na Idd Mohamed Simba, alikuwa mbunge wangu wa Ilala...
Ndugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu...
Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za...
Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili.
Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii.
Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa...
Amani iwe juu yenu...
Tanzania ilianza mchakato wa sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023, mwaka 2022. Mpaka sasa Kwa shule za msingi utekelezaji ulishaanza na wanafunzi wa darasa...
Wakuu,
Aisee hii ni kali :BearLaugh: :KEKLaugh:, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi...
Mbunge wa Jimbo la Lulindi, Issa Ally Mchungahela, amezitaka mamlaka zinazohusika na uteuzi wa viongozi kuhakikisha zinatoa ushauri wa kitaalamu kwa Rais, ili kuepuka changamoto zinazotokana na...
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu.
RAIS SAMIA...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na...
Wakuu,
Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Mohamed Msalu amesema kuwa nchi ya Tanzania ni ya vyama vingi hivyo linapokuja swala la...
Tulishasema humu mara kadhaa kwamba Viongozi wa Nchi hizo hawana uwezo wa kutatua chochote zaidi ya kuiba kura na kusimamia mauaji ya wanasiasa wa upinzani.
Hebu angalia kilichofanyika Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.