Wakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
My Take
Nakubalina Kwa asilimia 💯 💯 na Kauli ya Waziri wa Fedha kuhusu mabilioni aliyomwaga Rais Samia kwenye utitiri wa miradi Nchini.
Mama apewa 10 tena 👇👇...
SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa.
Waziri wa...
Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa...
Ninamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali
Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama...
Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu .
Amesema kumekuwa...
Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru.
Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi)...
Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila...
Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini?
Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo taifa, Abdul Nondo, amehoji nia na utayari wa Serikali katika kusaidia vijana wasio na ajira kwa kuwekeza zaidi kwenye mafunzo ya ufundi stadi...
Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia ni Chaguo La Mungu,Kwa hakika Mama Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,Kwa hakika Mama alikuja kulipa Furaha Taifa hili ,kwa hakika Mama alikuja Kwa Makusudi...
Hellow!
Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa...
Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.