Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika...
5 Reactions
54 Replies
1K Views
"Uchaguzi Serikali Mitaa 2024 ulitarajiwa kuponya majeraha ya Kidemokrasia yaliyotokana na Uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini umezidisha maumivu na kuwakatisha tamaa wananchi na wadau wote wa...
0 Reactions
3 Replies
196 Views
Wakuu, Uchafuzi wa Serikali Za Mitaa bado unaendelea. Hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea kimeeleza kusikitishwa na hatua ya kuenguliwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
413 Views
Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya...
2 Reactions
9 Replies
325 Views
Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo...
4 Reactions
73 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa...
1 Reactions
13 Replies
397 Views
Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha. Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa...
4 Reactions
68 Replies
2K Views
Wakati tunakaribia na kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao ni muda muafaka kuanza kuevaluate viongozi wetu tuliowachagua na kucrosscheck ahadi zao kwa wapiga kura waliozitoa wakati wanaomba...
2 Reactions
11 Replies
364 Views
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA jana nimemsikiliza kiujumla hotuba yake ilikuwa imeshiba madini ya kutosha ambayo sasa ni mhimu serikali isishupaze shingo kufanya...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo. Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama...
12 Reactions
91 Replies
2K Views
Habari wakuu. Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa...
4 Reactions
6 Replies
387 Views
Katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, kuna maswali mengi yanayozungumziwa kuhusu jinsi Samia Suluhu Hassan alivyoteuliwa kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Moja ya masuala...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi. Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni...
3 Reactions
9 Replies
510 Views
Ndugu Zangu Watanzania, Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha. Lakini...
1 Reactions
5 Replies
375 Views
Wanabodi, Kuna vitu mimi huwa navisema humu just as hypothetical situation na watu humu wanavichukulia poa hivyo kunibeza, na wengine hata kunitukana!, ila siku vikija kutokea kweli ndipo wenye...
32 Reactions
394 Replies
32K Views
TAREHE 05-01-2011 Police wawapiga risasi watu zaidi ya 11 ktk maandamano ya CHADEMA. Waua watu 3. TAREHE_10-2011 Dk.Mwakyembe aenda India kutibiwa kutokana na Kupewa Sumu.PoliCCM walipotezea...
10 Reactions
230 Replies
29K Views
Wakuu, Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa...
2 Reactions
23 Replies
858 Views
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa...
40 Reactions
1K Replies
61K Views
Leo Disemba 16, 2024, zinatimia siku 100 tangu aliyekuwa mwanasiasa mwandamizi wa chama cha upinzani cha CHADEMA, Ali Mohamed Kibao, alipotekwa Septemba 6, 2024, na mwili wake kupatikana Ununio...
3 Reactions
13 Replies
280 Views
Wakuu, Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh: ==== Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
Back
Top Bottom