ALIYEKUWA mkuu wa wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe.
Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa Presha na...
Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi...
Wakuu,
Wasanii/wanamichezo na vijana wanazidi kuaibisha wakiongozwa na huyu kijana aliyepata nafasi ya kuhakikisha sekta ya sanaa, michezo na utamaduni inasimama vizuri na wasanii wananufaika na...
CHADEMA,
Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa.
Civil disobedience na...
Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda.
Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa...
Wakuu
Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema;
"Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni...
13 February 2025
Unguja Zanzibar,
Tanzania
Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
Ndugu zangu Watanzania,
Kumekuwa na utamaduni na tabia ya baadhi ya watanzania wachache wenye wivu na chuki binafsi za kuchukua picha mitandaoni kutoka Nchi za nje ya Tanzania na kuziweka...
Laiti ningepata nafasi ya kukutana na wewe, ningekupa nasaha zangu kama 3 ila sina uwezo huo nimeona niliseme hapa huwenda litakufikia na Utakumbuka ulikotoka. Ila bado naomba nafasi ya...
Mei 2019 , Serikali ilisitisha mradi mkubwa wa Bagamoyo SEZ , Kiongozi wa chama Zitto Zuberi Kabwe aliandika makala akionesha umuhimu wa mradi huu na namna serikali ya awamu ya tano namna ambavyo...
Wakuu,
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kwa sasa CCM kimepoteza mvuto kwa sababu kimeshindwa kufikia...
Wagombea wa chadema makumi kwa maelfu wameenguliwa nchi nzima kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu. Sioni sababu ya kwanini chadema iendelee kushiriki uchafuzi huu ambao Askofu Bagonza...
Wakuu,
Kabla ya kampeni ukitaka kumsogelea Mwigulu au kiongozi mwingine mwananchi atapigwa roba chaaaaaa, labda kama kiongozi atasema mwacheni asogeee tumsikilize, mpeni mike!
Kupata taarifa na...
Wakuu,
Lissu asema kitendo cha kiongozi wa upinzani kukamatwa kwa nchi inayojiita ya kidemokrasia ni aibu, akaongeza kama wanafanya hivi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye uchaguzi mkuu...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania...
Wakati Novemba 27, 2024 ikiwa ni zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, mkoani Kigoma tangu asubuhi kumeshuhudiwa malalamiko ya uwepo wa kura feki licha ya wimbi...
CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho...
WAkuu,
Kupitia ukurasa wa X wa ACT Wazalendo wameweka taarifa hii, mambo yameanza kunoga mapemaaa!
Kupata matukio yanyojiri kimkoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LIVE - LGE2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.