The heading tells it all: Arusha and Mbarali killings say a bit more than what meets the eye! IGP should know this, Shamsi Vuai must understand this. If they dont see and understand this we will...
Gazeti la Tanzania Daima liliwahi kuandika "Slaa alishinda kwa 64%".
Baadaye likaandika: Mmiliki wa Dowans ni JK.
Ni gazeti hilohilo pia liliwahi kuandika "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo".
Ni...
On Saturday, police joined thousands of protesters on the streets of Tunis demanding the cabinet to resign.
Until a week ago the police were defending the now-ousted government of Mr Ben...
Pinda amweka kiti moto Mwema sakata la Arusha
Monday, 10 January 2011 21:39
Mwandishi Wetu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea...
Japo wanaCCM wenzangu watanishangaa, nashauri bunge litakalokaa hivi karibuni limpigie JK kura ya kutokuwa na imani nae. Na hizi ndio sababu zangu 10 zilizonifanya nifikie huu uamuzi:
1)...
Ijumaa ya tarehe 21, msemo Chenua Achebe wa "In africa its not what you know but whom you" kwenye kipindi cha PIMA JOTO. kuna mwakilishi mmoja alikuwa anajikanyaga kanyaga ilivyo onekana alikuwa...
Wadau ninavideo inayoonyesha yaliyojiri Diamond Jubelee kuhusu Tamko la waislam lakini nashindwa ku-upload msaada please.....
Note*
Video hii itasaidia kusikia kwa masikio sababu zilizopelekea...
Imagine wale vibaka wanaowanyima raha pale mtaani wasingekuwepo!
Imagine baba au mama mwenye nyumba angeheshimu mkataba mlowekeana kuhusu jengo unalopanga kwake,na kutambua kuwa kodi unayolipa...
Jamani nisoma gazeti la mwanahalisi leo kuhusu mauaji ya arusha. inatisha!!!. kosovo ya ajabu. pamoja na kitendo hiki hamna hata kiongozi mmoja aliyewajibika?!!
kumbe polisi walipiga risasi raia...
Nimesoma hoja nyingi amabazo zinadai waislamu tumekandamizwa tangu Tanganyika ipate uhuru. Lakini katika malalamiko hayo sijaona mahali tunailalamikia CCM kwa kutukandamiza kwa zaidi ya miaka 50...
INAKERA INAKERA INAKERA Huyu Basaleh na kusanyiko lake kila nikiwatafakari wanacho tetea ni nini sipati jibu!
Ukisema wanatetea waislamu ni waislamu gani walala HAI au walala HOI!
Ukisema...
Jana jk alienda chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli kufunga mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa nyota moja, ila ilibidi ndege ikatue mojakwamoja jeshi, kisa eti hawezi kukatiza arusha anaogopa...
Katibu Mkuu wa CCM, Yusuph Makamba, ametakiwa kujitafakari upya na ikiwezekana aachie ngazi ili awapishe wengine waongoze.
Kauli hiyo imetolewa na mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, kutoka mkoani...
Wana jf,hawa watawala na visafari vya dodoma hatuoni kuwa wanatubebesha mzigo usio na maana!tuwaulize schedule kamili ya kuhamia dodoma ikoje?naona wanakodi ndege kila siku kwenda dodoma na kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.