Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tusome hii article tutaona jinsi gani CCM walivyo...Pinda anawakochi wabunge na mawaziri jinsi gani ya kutetea ugaidi Tanzania. Ukweli ndani ya CCM ulishaota majani zamani sana....tutaona kama...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Lucy Nkya analidai gazeti la kila siku la Kiswahili, fidia ya shilingi bilioni moja kwa madai ya kukashifiwa. Naibu Waziri huyo anadai kuwa gazeti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi. Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo lkn...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini? Makala ya Kiongozi wa Upinzani kwenye Baraza la Wawakilishi, Mhe. Abubakar Khamis Bakari Wah. Wazanzibari Wenzangu, Wake kwa Waume, Wah. Wageni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Religious split: Why it’s a big lie Saturday, 22 January 2011 22:43 By Bernard James The Citizen Reporter Dar es Salaam. There is a growing concern that the religious harmony, peace and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mbinu hii ya Chadema, siku za utawala wa CCM zinahesabika.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Bakwata yataka ustahimilivu viongozi wa dini Mwandishi Wetu BARAZA Kuu la Waislam (Bakwata), limewataka waumini wa dini za Kikristo na Kiislamu na madhehebu mengine nchini kuendelea...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
NIMETEMBELEWA NA MBUNGE WA KIPINDI CHA MWINYI NAYE ALIIKUMBUKA ILE MANENO YA JENERALI ULIMWENGU ALIYO YA ANDIKA " Shule za Kata na Vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa wingi vitatoa vijana walioiva na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chief Patrick Kunambi mmoja wa waasisi wa TANU amefariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu sehemu pema peponi na awape faraja wote aliowaacha. Amandla.....
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu mnaweza msiamini kile ninachokipost hapa sasa hivi, lakini ukweli kwa mara ya kwanza leo UVCCM Taifa wametoa tamko zito lililosomwa na katibu mkuu wa taifa ndugu Shigela wameonesha wazi...
0 Reactions
434 Replies
33K Views
Ofisi ya Raisi: Muundaji wa Dili Zote- Jakaya Mrisho Kikwete Hii ofisi ya heshima ya Taifa letu inatumika kama mwanzo wa utengenezaji wa deals zote za Taifa letu. Mikataba ya raslimali zote...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
SLAA ALIPOONGEA NA WASOMI DAR - Global Publishers Video fupi ya mkutano huo kwa hisani ya global publishers Angalia dakika tatu za maneno ya hekima kutoka kwa Dr wa Ukweli.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakubwa mnakumbuka hii barabara ya morogoro iliyojengwa kipindi cha mkapa'bouble road ziliishii kimara wakati zilitakiwa kufika maili moja kibaha sasa imekuwa kero kwa wakazi wa huku kila siku ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa hakika inachosha kila unapoingia mtandanoni na kukutana na episode mpya ya sakata la Dowans.Tangu mwanzo ilishabainika Rais Jakaya Kikwete yuko upande gani katika ishu ya ujambazi wa waziwazi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani, Mmeipata hiyo? Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku leo. Hivi polisi wa kibongo wanayasikia hayo?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi inakoelekea si salama-Askofu Na Benjamin Masese KIONGOZI wa kundi la waumini waliojitenga na Kanisa la Anglikana la Tanzania, Askofu Ainea Kusehna amesema kuwa nchi inapoelekea sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, amesema kuyumba kwa maadili nchini kumesababisha kuwepo na gulio la kununua kura za wananchi ili kupata nafasi za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hayati baba wa taifa aliwahi kusema serikali CORRUPT, kazi yake ni kukimbizana na vijitu vidogodogo mittaani na kuwaacha wale wanaostahili kukwepa kodi. nashangaa hivi kule ambako nyumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom