Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza siombi hiyo hali itokee! Na mungu haepushie mbali kabisa. Nikiwa kama mwanachama hai na mpenzi mkubwa wa hili CHAMA[chadema] ambae nimekunywa hadi maji ya rangi ya bendera yake. Nina...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wandugu, Wazee wa imani zote watujuze, hivi kweli huko kunakoitwa jehanamu kuna mateso zaidi ya haya wanayoyapata sasa watanzania?? Wakati kipato cha mtanzania wa kawaida kipo palepale na wakati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika vikao vyote vya bunge hiki cha 10 kitakua ni historia kwa nchi. Mpaka ccm wanaitana kupeana semina elekezi.? mambo ni mazito. Kuna kipindi nilionaga kwenye news kuna wabunge walichapana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lazima tuungane. Tunie mamoja. Tuupige vita. Kwa gharama yoyote.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF mhe Pinda alionekana kuwahakikishia watz kuwa mahakama ya kadhi itaundwa chini ya system za dini ya kiisilam,laki makamu wa Rais Dr Bilal aliwahakikishia waisiilamu kuwa kiliochao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
WADAU, na wasalim jina la ukombozi wa nchi yetu, Napenda kutoa hoja ya haya, kwanini wazee wa EAC na wafanyakazi wote wa nchi hii wanaodai taifa letu madai na malimbikizo mengi wasiingie...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wandugu wapendwa, Maandamano ya Jumamosi Dodoma yalikuwa mazuri. shukurani za pekee kwa jumuiya ya wana UDOM kwa kujitokeza kuyapamba. maandamano haya yalitokea ofisi za mkoa Dodoma, yakaenda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Juzi katika mkutano mkuu wa wabunge wa CCM pekee uliofanyika pale Ubungo Plaza kwa udhamini wa bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, waziri Mkuu, Pinda aliwaagiza wabunge wa CCM kucha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF wenzangu leo ninafuraha sana baada ya kuwa msindikizaji na mwanaharakati wa chama cha Chadema baada yazikubali sera zake kwa muda mrefu, hatimaye leo nimekwenda ofisi za Chadema mkoa hapa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Upeo wa kufikiri wa viongozi wa CCM ni mdogo sana. Niliduwazwa na mkwara-mbuzi wa UVCCM wa kuwafokea 'Baba Dhao' na kujidai ni matakwa yao. Kwanza nikafikiri kuwa vijana wa CCM ni makini na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkurugezi wa wilaya ya Arusha mjini ameingia mchecheto wa kilicho jitokeza Arusha tarehe 5-1-2011, baada ya kuamuru wenyekiti wote wa vitongoji kufanya mikutano na wakazi wa vitongoji vyao ili...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Bodi ya mikopo imekuwa ikilalamikiwa mara kwa mara karibia na kila kundi miongoni mwa jamii ya watanzania kwamba haifanyi kazi kwa ufanisi na hasa imekuwa ikichelewesha mikopo kwa wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto wa JK RIdhiwani amekuja juu na kuwakebehi viongozi wa CCM kwa kutowajibika bali kamsifu Msekwa.............................. SOURCE MAJIRA JUMAPILI....................... Hivi Mtoto wa JK...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nawasihi chadema waunde kambi yenye nguvu kushirikiana na vyama vingine vya upinzani bungeni.wasahau yote yaliyopita wawe wakomavu wa kisiasa.kamawameliweza hili la kuamsha umma katika mijadala ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
A United States-based company, CPS Energy, may take over controversial Dowans Holdings (Tanzania) Limited, which expects to easily ‘fetch' $62 million(Sh95 billion) from Tanzanian taxpayers...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Taasisi iliyobobea kwenye utafiti wa kiuchumi na kijamii (ESRF) imesema kuwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, serikali imejitatahidi kutekeleza malengo ya dira ya taifa ya 2025 na changamoto...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Salaam. Muda huu ninapoandika ni kwamba Makumira University kunaendelea tamasha kubwa sana la vijana wanachuo linalohus mwelekeo wa taifa letu na vijana. Makamanda wa CDM waliopo ni...
0 Reactions
210 Replies
16K Views
CCM hatarini kushitakiwa Na Mwandishi wetu - Imechapwa January 2011 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeingia katika mgogoro mpya na mwekezaji na huenda kikafikishwa mahakamani na hata kufilisiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, wakati sasa umefika tutafute namna ya kupima uwezo wa Mawaziri wetu maana huwa nashawishika kuamini kuwa Mawaziri wengine ama wana damu tu ya kunguni (hawapendwi) au si wawajibikaji au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom