Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamani huyu jamaa mkwere mi namshangaa..ni tabia ya mjinga kujichekesha chekesha wakati nchi inaomboleza na dhiki...huyu jamaa ni king'ang'anizi,ile mwaka 95 mwl alijua alikuwa hafai,akatumia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Siku za karibuni sasa ni dhahiri CDM wameamua kutumia wanafunzi wa vyuo vikuu katika kile wanachokiita kudai mabadiliko. Mimi kwa mtizamo wangu wasiwe wana-take advantage ya matatizo yao...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu, Siku nzuri kufanya MAREKEBISHO MAKUBWA na MUHIMU huwa ni aidha Jumamosi ama Jumapili, hivyo mtuwie radhi kuna marekebisho makubwa kiasi tunafanya lakini hayataathiri utendaji mwingine...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
ITV WAMEANZISHA KIPINDI CHA TIMIZA AHADI ,AMBAPO WABUNGE WANATAKIWA KWENDA KUELEZEA AHADI ZAO ZIMETIMIZWA KWA KIASI GANI MPAKA SASA,KUNA WABUNGE WALIAHIDI MABADILIKO MAKUBWA SIKU MIA ZA KWANZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAU . naomba tujadili jina linalofata baada ya operation sangara na namna ya kuindesha kwani sasa hivi ni mtu kwa mtu, mh mbowe alisema jaja hakuna kijiji ambacho wabunge wa chadema...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Spika: Wanawake jitoseni majimboni Imeandikwa na Namsembaeli Mduma; Tarehe: 25th January 2011 @ 07:42 BAADHI ya wanasiasa wanawake katika vyama vya siasa wamekuwa hawajiamini kugombea ubunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1995-2005-2008 ilikuwa ni agano takatifu, kiapo cha dhati, utimilifu thabiti wa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.............. Bwana yesu aliwapa amri mpya wanafunzi wake na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kweli ningependa sana kuona CHADEMA wanamaliza tofauti zao na hivi vyama vingine na mwisho kutengeneza kambi moja yenye nguvu ya kupambana na hawa CCM ila bila kucompromise malengo sahii ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani Great thinkers naomba niulize tutavumilia hadi lini upuuzi huu.MEREMETA,KAGODA,KIWIRA,UNUNUZI WA RADA,EPA,RICHMOND NA SASA DOWANS na ufisadi mwingine mwingi tu uliolighalimu Taifa bila mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumezoea kusikia REDET au SYNNOVATE wakifanya utafiti mara moja moja kuhusu kukubalika kwa JK na mambo kama hayo. wakati wa uchaguzi mkuu pia ni kawaida kusikia wadau hawa wakitoa tathmini yao juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUNAVYORUDI BUNGENI: 'NGUVU YA UMMA' TUNAAGIZO 'UTII' NA 'UTETEZI' WAKE MBUNGE UWE NI KWA MASLAHI YA CHAMA CHAKE AU MASLAHI YA WAPIGA KURA??? Miaka mingi tumekuwa tukitabasamu vizuri na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sio Mazoea yangu hata siku moja kuanzisha wala kuchangia topic zinazohusiana na dini. Hata hivyo kwa leo naomba tu nimwambie huyu shehe anayefanya kipindi live pale channel ten (kama sijakosea...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people." Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968. -...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umoja wa vijana wa ccm hivi karibuni ulitoa kauli ya kuitaka serikali imkamate kwa nguvu dr. Slaa na kwenda kumpima akili. Ingawa kauli hiyo imejibiwa kistaarabu na dr. Slaa mwenyewe kwa maoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Wajumbe watatu wa Kamati ya Richmond, Stela Manyanya, Lucas Selelii na Mohamed Mnyaa, wako Marekani na tayari wameshapita DC ubalozi na leo wanaelekea Texas kuonana na kina Gire, kupeleka...
0 Reactions
89 Replies
10K Views
Wana JF na Watanzania wenzangu, Naandika kwa uchungu sana topic hii. Kwamba hapa tulipofikia sasa lazima Watanzania TUSEME ENOUGH IS ENOUGH na tuchukue hatua kama ndugu zetu wa Tunisia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, baada ya jana Kamanda Mbowe kufungua Tawi la CDM pale Makumira university, habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba Chuo cha uhasibu Arusha nao wako kwenye mazungumzo na uongozi wa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wapinzani wamsihi Mbowe Kambi ya upinzani isiyo rasmi bungeni imemuandikia barua Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuomba wachaguliwe kuunda Baraza la Mwaziri Kivuli kwenye Bunge ili waweze...
0 Reactions
169 Replies
13K Views
Wazee, Nimemsikia Mhe. Kafulila kwenye matangazo ya Dira ya Dunia ya Idhaa ya Kiswahili BBC leo akieleza mpango wake wa kupeleka hoja bungeni ili wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom