Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na sisi kama Watanzania tunao Muungano wetu. Rais wetu wa JMT naye angekuwa na hotuba yake kila mwanzoni mwa mwaka akalihutubia BUNGE pamoja na BARAZA LA WAWAKILISHI kwenye kikao cha pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madiwani wapanga kumwengua meya Na Suleiman Abeid, Shinyanga BAADHI ya madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Shinyanga wanadaiwa kula njama za kutaka kumuengua Meya wao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananchi na Chadema na Wote Wapenda Taifa letu. Wananchi tunataka Vita vya Rushwa Vianzie Hapa, Dowans… Swala lipo Mahakamani na Sio mwisho? Tukumbuke Mahakama Imeteuliwa na JK. Tunaweza kujadili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Dr Mohamed Shein Makamu wa I wa Rais Maalim Seif Khatibu (CUF) Makamu wa II wa Rais Balozi Seif Iddy Katibu Mkuu Kiongozi Katibu Mkuu Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee Spika wa Bunge Mzee...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tutakapomaliza kugombania pesa za Dowans na EPA tusianze kulalamika kuwa Kenya wanatunyanganya watalii kwa kujenga uwanja wa ndege karibu na mpaka wetu. Inauma, inatia huzuni, aibu kwa taifa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu Wana JF, Napenda kukiri wazi kabisa na bayana siku zote huwa na kuwa na mitazamo tofauti na Ismail Jussa kwenye masuala mbali mbali yanayohusu siasa na mustakabali wa Taifa letu lakini leo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi, nimekaa na kutafakari, nimeona kweli rais wa ccm ndugu kikwete ni mbumbu na mtu anayependa misifa. Simuelewi anavyosema ifanyike sherehe kubwa ya miaka 50 ya kukumbuku ya uhuru...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
what do these two have in common? of course wote ni wake wa Marais clue ziko hapa: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/105237-nationmedia-and-conflict-of-interest.html
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na migomo na maamdamano kwa wanafunzi wa vyuo vyetu hapa nchini. Mwodoko huu wa migomo umesisiwa na CHUO CHETU CHA KATA-Dodoma ambacho ni kipenzi cha JK na serekali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanawake LIVE leo wanaongelea DOWANS kaazi kwelikweli. Tunahakikisha moto huu hauzimiki....tutaondoka na mtu wallahi!!!
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wana JF naomba mwenye kujua ma RC na DC waliomaliza muda wao wa hizo nafasi kwa kuchaguliwa wabunge au kwa sababu nyingine wamelipwa shilingi ngapi?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Si siri kuna fukuto la mabadiliko katika nchi yetu. Na ni vyema watu wapenda maendeleo kutumia fukuto hili kuwasha moto ambao utakimbiza mafisadi namajambazi kutoka Tanzania yatu kama sio...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Mfumo tulionao wa malipo baada ya kustaafu unafaa uangaliwe upya ili kuboresha kuendana na ukali wa maisha ya Mtanzania wa leo. Mfumo wa kupata malipo kwa mkupuo si mfumo mzuri kwa vile kuna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wataalam wa sheria naomba mnijuze. Hivi kuna kipindi maalum cha kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi wa mbunge? Nimedokeza na rafiki yangu mmoja ambaye yupo serikali kwenye kitengo nyeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shuhudieni wanaume waliochoka na utawala mbovu unaosababisha kupanda kwa gharama ya maisha ! Vumilia iishe tangazo ndio ushuhudie ! Day of anger in Egypt Lakini Tanzania, thubutu ! Utawala...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wandugu, Wengi wenu mmesikia kauli ya 'mtoto wa mkulima' kuhusu dowans. Siju kama nimemweleza vizuri, ni kama amesema suala la dowans kamwe halitarudi bungeni. Kwamba litaachwa lifuate mkondo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
MWANDISHI WA MAKALA HII HAPA CHINI NI PROFESSOR WA HISTORIA CHUO KIKUU CHA NAIROBI...NIMEPENDA SANA MAKALA YAKE IMENIKUMBUSHA JINSI SISI TULIVYO WAJINGA...KWA NINI WATANZANIA TUSIIGE MFANO WA WATU...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Tangu nchi ipate uhuru sijwahi kusikia msuguano kati ya Polisi na wafuasi wa ccm,Licha ya vurugu za kisiasa huko visiwani, kwa bahati sijasikia au kuona wanaccm wakikumbwa na nguvu za dola. hii ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara sehemu ya kwanza ya makala haya ilipotoka wiki iliyopita, nilipata taarifa ya mshtuko. Nilinasa sherehe za watu wanaochekelea. Wanadai vurugu za Arusha zimefanikiwa kuwaweka juu. Ni ile ile...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Mh mkuu wa wilaya ya masasi Nape Mnauye adai haamini kama CC aijuayo ndio iliyotangaza malipo ya DOWANS hayaepukiki!habari kwny gazeti la mwananchi
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom