Jamani hivi mnajua kua ukimwalika Mkuu wa mkoa, Waziri, Mkuu wa wilaya au kiongozi yeyote serikalini aje kufungua Mkutano, warsha, semina au mafunzo Unamlipa hela.
1. unamlipa full perdiem kama...
Muungano kambi ya upinzani mashakani
*Mbowe awataka kina Hamadi Rashidi 'wazidi kusubiri'
Na Tumaini Makene
ZIKIWA zimebaki takribani wiki mbili kabla bunge la 10 halijaanza vikao vyake...
Mh. Juma Kapuya ambaye ni mbunge wa huko Tabora, akijiliwaza kwa kucheza dansi mtindo wa 'Pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO wakati akiwa ndani ya ukumbi wa Mango Gardens, Kinondoni jijini...
Hivi ni kwa nini watu wanang'anag'ania kulipa matapeli wa DOWANS WASICHANGISHANE WAO NA WAKE ZAO WALIPE !HEBU FIKIRIA MTU KAMA CHENGE ANA 2 BILIONI HUKO UGHAIBUNI ...NA HIZO NI VIJISENTI TU...
nilimsikia Tambwe hiza ktk kipindi cha Tanzania inapoelekea kilichorushwa na Star tv akisema hapa tz watu wengi sasa wanaamini Chama chochote ambacho kitaonekana kina harufu ya dini fulani...
Nadhani nitakuwa sawa kama nikisema kwamba Tanzania haijawahi kuwa na post election fever and enxiety ndefu kama hii ya wakati huu.
Kadri hali ya siasa za Tz inavyozidi kuchacha, hali ya...
TAMKO LA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
CHADEMA MKOA WA DODOMA KULAANI MATUMIZI MABAYA YA NGUVU ZA POLISI MKOANI ARUSHA NA KUSABABISHA MAUAJI YA RAIA WASIO NA HATIA.
UTANGULIZI.
Ndugu...
Habari za chini ya kapeti zinaelezwa kuwa Ofisi ya Bwana Mkulo haina fedha. Imefulia na hali ya nchi kifedha ni tete.
Wakati huo wahisani hawana habari na wala hawataki kusikia nchi iliyotumia...
haewezekani masuala ya hatma ya nchi yakamuliwa na wajumbe wa chama tena chama kimoja.itakuwa sere ni ile ile serekali 2-1.
Katika kumbukumbu zangu zote hakuna nchi hata moja Africa iloko katika...
Nimekuwa nikifuatilia michango mbalimbali kuhusiana na mgamo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini MAKUMIRA. Wengi waliochangia wameonekana kuwapongeza wanafunzi hao kuwa ni mashujaa wanaopigania...
Kuna kila dalili za kutimia kwa kauli ya DK SLAA kuwa bajeti ya mwaka huu ilikuwa ni kiini macho ,na kuwa haitafika mbali!baada ya serikali kuanza kuziagiza wizara kukata kiwango fedha ili ziende...
MAPUNGUFU/MAMBO YANAYOHITAJI MAREKEBISHO NDANI YA CCM.( Maoni)
1. Top down directions/order ni tatizo.Viongozi wa juu wasiwe mara zote wanatoa maagizo chini, badala yake...
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha, katika soko la kubadilishana fedha shilingi ya Tanzania imeshuka thamani mno. Leo dola 1 inabadilishwa kwa shilingi 1508 za Tanzania. Watu wamekaa kujadili...
Katika pitapita zangu nimekutana na matokeo ya kidato cha nne.Ukweli ni kwamba watoto wetu wamefeli sana.Je wizara wameweka matokeo haya kimya kimya kuepusha aibu ya shule za kata?
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini...
Wabunge wa upinzani wasaidie kupunguza posho zao ili kunachobakia kisaidie sekta nyingine tusikae tunapiga kelele kwa pesa ambazo hazijalipwa nadhani itakuwa busara tukianza na hizi zinazolipwa...
a. Ningekuwa Nimeona Jinsi Gani Wananchi Hawapendi Serikali ya CCM, Sera zake na Zaidi Rushwa na Ufisadi Mbaya Tuliouleta. Ningeona Mapinduzi Yana Karibia na Kujaribu Kuhepusha Janga Kubwa
b...
Kwa Kweli kwa hili sakata la DO-ONCE(DOWANS) katika serikali hii ya kaka mkubwa(JK) ambalo limeitikisa nchi yetu kwa muda sasa inastahili ADHABU.... sijajua ni aina gani ya adhabu bado....ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.