Ni wakati wa serikali kufungua macho kuona jinsi shule za kata zitakavyoleta ukabili'mtu anazaliwa hapo anasoma toka chekechea, primary ,secondary' hapo kwenye kata anasoma na jamii ya aina moja...
Wadau, nimeangalia shule moja yenye jina la Yusuph Makamba, na pale watoto waliopata zero wapo 314 (mia tatu na kumi nne)hivi; Unajua bwana haya mambo ya kutaja shule fulani majina ya watu fulani...
There was a little explosion weekday at the Post Hotel Morosani in Davos, Switzerland, which is hosting the high-powered period World Economic Forum this week, personnel there said.
RELATED...
WanaJF,
Hii tabia ya viongozi wetu kutokuwajibika imeota mizizi sana. Tumeiendekeza mpaka sasa imekuwa ni kawaida. Kwa mfano,
Leo tarehe 27.01.2011 kuna taarifa hizi;
1. Watu 3 wamekutwa...
Mheshimiwa alisema yafuatayo:
1. Amepita bila kupingwa, ndo imetoka hiyo!
2. Anawashukuru wananchi wa Nyamagana kwa kuwa na Imani nae
3. Mwanza hakuna upinzani, na alikua na imani kuwa...
nimesoma gazeti la daily nation la leo wakenya wanalalamika kuwa watz wanaenda kenya wanasoma kwenye shule za serikali bure. shule nyingi hasa za mipakani zimefurika. wanalaumu kuwa inakuwaje...
Wengi tutakuwa tumesahau lakini katika utawala wa Mkapa Lowassa alikuwa Waziri wa maji na katika pita pita zake kule Misri alifahamishwa ya kuwa kwa mwaka Misri inazalisha wakufunzi wa elimu ya...
• Ataja mashahidi walioiponza TANESCO ICC
na Happiness Katabazi
MMOJA wa mawakili mahiri wa kujitegemea nchini, Kennedy Fungamtama, ameiomba serikali na umma upuuze ushauri wa aliyekuwa...
Serikali ya Tanzania isikoonyesha ukakamavu wa kupambana na rushwa nchi yetu itakuwa kama somalia. Wananchi wa Tanzania wamefikia wakati wa kuchoshwa na hali ya juu ya rushwa ambayo kila mtu...
Kufuatia mlongongo wa kashfa za mikataba na manunizi isiyo natija naomba bunge linalokutana February liazimie ya kwamba Serikali isiingie au kufanya maamuzi yoyote bila kuhusisha kamati za Bunge...
Pamoja na Mambo mazito ambayo yanaendelea kuikumba nchi yetu nashauri sasa ni
mda muafaka wa kuandaa mpango mkakati wa kueleka 2015, Tunahitaji Chama Makini,
kilicho na watu makini kuweza...
VITA dhidi ya ufisadi iliyovuma katika Bunge lililopita imewagawa watumishi wa Ofisi ya Bunge katika makundi mawili yanayohasimiana huku kila kundi likijaribu kusaidia vigogo wake kujinasua au...
Mods kama ilishawasilishwa na mwingine ondoeni yangu. Nimeshindwa kuvumilia. Sijui wanaitakia nini nchi hii hwa mahasidi, mafisadi,...
Tujiulize Zanibar nako ni Tanzania? Kama ndiyo huko waislamu...
Tunajua hali halisi ya yaliyotokea Tanzania kwenye uchaguzi wa 2010 . Lakini naamini vijana wengi pia hawakuwa wamejiandikisha kupiga kura 2010 hivyo kukosa fursa ya kumchagua kiongozi...
Wakuu naomba kuuliza yule mbunge na muasisi wa chama cha UDP na alikua ni mbunge AKA Bwana Mapesa yuko wapi? na je bado ni mbunge na pia chama chake kina wabunge wangapi? Asanteni.
Hili linahusu ndoa halali iwe ya Kikristu au ya Kiislamu au kimila na kiserikali. Mtu unapoenda kufunga ndoa na mtu unatarajia kuwa yule mtu mwingine hayuko kwenye ndoa nyingine halali - aidha...
kwenye strong democracy yoyote ile Media ni kama 4th estate lakini kwetu inaonekana kama vile media kazi zao ni kuserve special interests be it ziko owned na Chama tawala, serikali,opposition...
Inatia moyo sana kuona kuwa CHADEMA wamelipokea rasmi wazo la kuwa na redio na televisheni yao. Iwapo vyombo hivi vya habari vitaanzishwa, binafsi napendekeza viitwe CHADEMA Education...
Siasa ni majadiliano (debates) isiyo na mwisho (endless debate) kila mwaka bungeni..
Siasa ni ahadi zisizo na mwisho (endless promises) kila baada ya miaka mitano manifesto mpya, mambo mapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.