Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
nani asiyetilia shaka tamko la uvccm? Wanataka tu kumsafisha lowasa.baadaye wamesikika wakise wanataka waliodanganya taifa na kuingiza serikali hasara wawajibishwe.sasa mtu akiongea hivyo kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mie nimetumiwa e mail tu! just to review whats writtten. Msinihukumu bali nanyi fanyeni review zenu. Angalizo just review as a great thinker na sio mshabiki tu. Hapo tutakuwa sawa. Je wewe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda amesisitiza, Uchaguzi wa Meya na Naibu Meya kwa Jiji la Arusha ni halali na haustahili kurudiwa. Kwa mujibu wa Kamati Kuu ya CCM, uamuzi wao ulikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwani nini wazee wa eastafrican community wasitafute ushauri kwa dowans namna ya kuharakisha malipo?:thinking:
0 Reactions
2 Replies
849 Views
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU HAIHUSIKI NA MIGOMO YA HIVI KARIBUNI KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU 1.0 UTANGULIZI Katika kipindi cha hivi karibuni pamekuwepo migomo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumeshuhudia migomo Mbalimbali katika vyuo vyetu vikuu.Maana halisi ya kugoma ni kuonesha kwamba mfumo flani una ufa unaoweza kufanya haki flani isipatikane.Hivyo kama kwa macho ya kawaida uzibaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msomaji Raia WIKI iliyopita baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa Ridhiwani Kikwete, mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani ukifuatilia sasa hivi nchi za uarabuni kuna mwamko mkubwa zidi ya uonevu, na hii ni baada ya Tunisia kufanikiwa kuondoa jabali lao ambalo lilikaa madarakani kwa mda mrefu ,watu waliandamana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Na Baraka Kimwanga SERIKALI imesema mjadala kuhusu fidia ya kampuni ya Dowans hautarudishwa bungeni na badala yake itafuata taratibu za kisheria kwa kwenda mahakamani ili mkondo wa sheria uchukue...
0 Reactions
82 Replies
7K Views
Sema kwa mfano baada ya hukumu na kabla ya malipo new facts zinatokea ambazo ni muhimu katika hukumu na zilifichwa kwa makusudi ili kunufaisha upande mmoja aliyedhuriwa ana recourse gani ya...
0 Reactions
102 Replies
7K Views
Kutokana na hali halisi inayolikabili taifa katika sekta ya elimu hasa kwa ngazi ya msingi na sekondari, pamoja na mapendekezo ya kuboresha maslahi ya walimu, mazingira ya kujifunzia na vitendea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YEYOTE ANAYEFAHAMU WALIPO WALIOMFUNDISHA NYERERE SIASA ATUJUZE Dossa Said Dossa Ally Sykes, Hamza Mwapachu Tewa Said Tewa Dk. Vedast Kyaruzi Dk. William Mwanjisi Dk. Luciano Tsere Dennis...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani, katika pitapita zangu leo nikajikuta nimeitembelea website ya CHADEMA. Upekuzi wangu ukanipeleka kuingia kwenye ukurasa wa blogu za wanachama. kufungua nikakuta wameweka picha za viongozi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi umewahi kukaa chini ukafikria ni wapi JK anatupeleka? Miaka 5 iliyopita ni virtually hakuna kitu alichokifanya. Alichotuletea ni ma dowans, richmond na nk. Uadilifu na uzalendo unazidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chadema wamtwisha JK deni la Dowans Claud Mshana KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa, amesema wanaopaswa kulipa deni la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg wana JF. Siku zote huwa naguswa sana na hawa watu wanaoitwa watoto wa mitaani. Mara nyingi hawa watoto hawana baba na mama, na wakati mwingine hawana ndugu kabisa. Watoto hawa hulandalanda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How come George Bush, Dick Cheney and BLAIR have not been investigated by Hague on war crimes in Iraq?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 22 December 2010 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri, Mizengo Pinda amejitwisha zigo lisilobebeka. Litamuangusha. Ameahidi kulipa mabilioni ya shilingi kwa kampuni ya kufua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wandugu, Kumekuwa na vuguvugu la chinichini linalofanywa na waumini wa dini ya kiislam kutaka Ijumaa nayo iwe ni siku ya mapumziko kitaifa. Kwa muda mrefu sisi wapagani tumesahaulika sana kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom