Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tanzania yangu nakupenda,ila viongozi wetu wana siasa sasa wamekua kama doctor wa kitengo cha upasuaji alie amua kuwa mjasiriamali na kufungua duka la kuuzia majeneza, tutarajie vifo vingi ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama mlisoma magazeti mwanzoni mwa wiki hii balozi wa Marekani aliwakilisha cheque ya 7.5m na kisha kuongeza ''za kwake'' 3m kufanya mchango ufikie 10.5m. Kwangu mimi natafsiri kwamba wahisani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF; Mengi yamekuwa yakisemwa kuhusu uanzishwaji holela wa Sekondari ya Kata '(yeboyebo)' na kwa wachambuzi wa masuala ya maendeleo na sera walionya kuwa mwendo huu wa CCM na Serikali yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasomi kuna kitu wanaita "trends and development", waungwana mtanisaidia kiswahili chake, ila ni kitendo cha kuangalia mwenendo mzima wa kitu fulani, then kupitia hilo, unaweza kuanticipate ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwandishi apigwa kikatili Zanzibar na Mohamed Said Abdullah, Zanzibar Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, Munir Zakaria, juzi, alikamatwa na kupigwa na askari wa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mwenye kufahamu anijulishe sababu nimejaribu kucheck Hansard za bunge zilizopo kwenye internet nimekuta zipo Hansard za kuanzia mwaka 2003 na Kuendelea. Kuanzia mwaka 2003 kurudi nyuma sijaona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbona Chadema kama Chama hawalitolei kauli Sakata hili[ Tunataka CC ya Chadema na si maoni ya Slaa au Mbowe pekee yake], kivipi wanashindwa kucapitalize na kuweka pressure kubwa kwa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa awamu 3 tofauti, Zanzibar imetoa wasomi wa hali ya juu ktk siasa za tz hasa ktk nafasi ya makamo wa rais. yaani dk bilali, dk shein na dk Omar Ali Juma(marehemu). jee hii ni tafsiri gani ktk...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Social network hizi zimeweza ku organise watu faster, na TZ je tutumie nini watu wapate uelewa tupinge ufisadi kwa pamoja kama wenzetu wanachoendelea kukifanya mpaka waone changes leo baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mujahidina aonyesha hamu kubwa ya kuhamia USA Said Jaziri, Controversial Muslim Cleric, Caught After Allegedly Entering U.S. Illegally East of San Diego By Dennis Romero, Thu., Jan. 27 2011 @...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Kuwa World bank wametoa fedha kiasi kikubwa kwa ajili ya project tajwa, na tayari zimesambazwa kwenye mabenk yafuatayo, TIB, NBC na CRDB. Bila taarifa hizi fedha zitaangukia kwa wale wale na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Kwamba tupo katikati ya matatizo makubwa ya kitaifa sio swali la kujiuliza kwa sasa.Miaka yote 50 ya uhuru bado hatujaweza kuacha kufikiria vyanzo endelevu vya nishati.Badala yake watu wametumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza. Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Yaani pesa za mshahara wa mwezi Januari zimekuta zile za mshahara wa December zipo kwenye amana ya akiba?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM inaongozwa kama genge la wahuni na lengo lao kubwa ni deals za kuiba na kujinufaisha wao wenyewe na familia zao. Historia ya CCM inatuonyesha matukio makubwa kama Dowans, Richmond, wizi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nasikitika kwamba wananchi wa Tanzania hasa vijana tunategemea sana Chadema kuleta changamoto ya mabadiliko na mapinduzi Tanzania. Ukweli ni kwamba Viongozi wa Chadema, Dr Slaa na Mbowe wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau – mambo yamenishinda kabisaa. Mimi na familia yangu tumeamua kila siku kuzima main switch ya umeme nyumbani mchana kutwa kuanzia saa moja asubuhi ninapotoka hadi saa 12 jioni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani Chumvi na sukari vinapanda bei?? Vitu vinapanda bei, je mishahara imepanda? Kama kuna mfumuko wa bei, na mishahara imeongezeka??
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kaa mkitambua kua kushindwa kwa Chama tawala katika uchaguzi ni uzembe wa Chama, kama alivyosema Baba wa taifa.Basi hawa, hawafanyi uzembe.Nyie mnalala tu,hadi uchaguzi utakapo karibia ndo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom