Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
SERIKALI imeondoa posho ya upepelezi na nyumba kwa askari polisi bila maelezo katika mishahara ya miezi ya Desemba 2010 na Januari mwaka huu, Mwananchi limebaini.Habari zilizolifikia gazeti hili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Amesema: "kutokana nayanayoendelea kutokea katika baadhi ya nchi za Afrika Kama Tunisia, Misri, Ivory Coast, na hata yanayoendelea Algeria, viongozi wetu wanatakiwa kuwa makini, kwani ni wazi pia...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
ASKOFU wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Dayosisi ya Iringa Dkt Owdenburg Mdegella (pichani)amedai kuwa utendaji mbovu wa baraza la mawaziri la serikali ya awamu ya tano chini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tunakumbuka kuwa walimu walisitisha mgomo wao na kueleza kuwa sasa wataendesha mgomo baridi je ndiyo matokeo yake sasa? walimu wasikilizwe wasipuuzwe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu zana halisi ya ubunge ni kusema kwa niaba ya wapiga ambao hawana uwezo wa kusema,Mhe Mosse Machali kasuli mjini amemuunga Mhe cheo mkono kwa kazungumzia matatizo ya wananchi bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila siku ukiangalia mada zinazorushwa hapa JF dhidi ya Rostam Aziz zinalenga zaidi kwenye chuki. Imepelekea hadi baadhi ya watu kusahau kwamba huyu jamaa ni mwanadamu kama tulivyo sisi. Wengi...
0 Reactions
161 Replies
13K Views
Msuya: Kuna uwezekano CCM kung'olewa Na Tumaini Makene WAZIRI Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Bw. Cleopa Msuya amesema kwa jinsi vuguvugu la kisiasa lilivyo kwa sasa nchini, si ajabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau: Dowans imechimbia kaburi CCM Saturday, 22 January 2011 20:24 Waandishi wetu SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya CCM kubariki kampuni ya Dowans...
0 Reactions
124 Replies
10K Views
TAARIFA YA KIKAO MAALUM CHA USURUHISHI WA MGOGORO WA CCM TAWI LA MAREKANI KILICHOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SAFARI-HOUSTON TEXAS, TAREHE 02/Januari/2011 WAJUMBE WALIOHUDHURIA 1. Frank...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani wana Jf hebu naomba mnifahaamishe kwa kuzingatia makundi na mivutano ya hapahapa ndani ya chama tawala CCM naamini hivi sasa kuna kambi ambazo zimeshaanza mikakati ya chinichini kuelekea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF naamini wengi wetu tulisoma lile tamko la vijana wa CCM kuwa wanataka mjadala wa Dowans urudishwe bungeni ili umma ujue mmliki wake ni nani. Swali likawa Je, nani kawatuma hawa vijana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hamad Rashid alikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ( bunge la tisa) 2005-2010.Kwa wakati huu wa bunge la kumi ambapo Chadema wamepata uhalali wa kikanuni wa kuunda kambi ya upinzani...
0 Reactions
97 Replies
7K Views
Wakati huo huo, maandamano ya Tucta yaliyotarajiwa kufanyika Januari 29 mwaka huu yameahirishwa hadi Februari 12 mwaka huu. Hatua hiyo inatokana na Shirikisho hilo kushindwa kurekebisha mambo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya siku 3, yalifanyika hitma ya marehemu. licha ya kuwa chadema sio chama cha kidini, lkn utu ni bora kuliko kitu, lkn kuna taarifa kwamba Chadema hawakumuwakilisha kiongozi yoyote katika...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mabalozi pia waandikiwa Barua za kuomba hela, baadhi washangaa kwani hawajawahi kusikia tangu wazaliwe Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Said Mwema. SERIKALI imeondoa posho ya upepelezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
personally nawashukuru mlio design hii kitu but what am i discouraged is some of information are not true yani mtu anakaa afu analeta info ambazo chanzo utata sasa if we are great thinker kweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nchi imenishinda kuongoza. Unatarajia ningefanya nini zaidi ya kusepa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha amepandishwa kizimbani leo,akiunganishwa na kesi inayowakabili viongozi na wabunge wa chama hicho,kuhusu tukio la tarehe 5.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndg zangu kila napotafakari kuwa DOWANS wameshawasilisha hukumu yao mahakama kuu kwa ajili ya usajili na kulipwa hakika na kosa raha na nakata tamaa na nchi yangu pendwa ya Tanzania. kama wadau...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi kwa mtazamo wangu kikwete anawalipa deni lao waliomuweka madaraani yaani EL na rafiki yake RA. Kwa wafadhili hawa EL na RA wanataka malipo yao sasa Kikwete anawalipa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom