Ndugu wana jamvi nimekua na mjadala na baadhi ya wa2 kuhusu viongozi wadhambi wa africa, tulipofikia habari za bokasa,wanasema alianza kama rais then akaamua kujibadilisha na kua mfalme na baadae...
Saturday, 29 January 2011 09:35 0diggsdigg
Lilian Lucas,Morogoro
KAMATI Kuu ya Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu), imeiomba serikali kutekeleza ahadi yake kuhusu kuvunja mkataba...
Ni CCM au Raisi ?
Kipimo cha wanaoondolewa kwenye madaraka kwa nguvu za umma ni viongozi waliokaa madarakani kwa mida mwingi sana.
Kwa hapa kwetu Raisi aliepo madarakani huwa hatimizi zaidi ya...
Mji wa Mwanza leo umezizima kwa masaa takribani matano baada ya Wamachinga kuteka mitaa yote ya katikati ya jiji. Uongozi wa Jiji la Mwanza umevunja vibanda vya Wamachinga katika operesheni...
Wadau -- kama mme-notice jiunsi siku zinavyoenda, ndiyo jinsi CCM inavyozidi kuchukiwa na wananchi.
Ukiangalia vipindi vingi vya TV (mfano: Jiji Let/Hapa na Pale vya ITV) utaiona hasira ya...
Wakuu,
Katika moja ya hotuba zake, Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa chama goigoi huzaa serikali goigoi. Je, mwenendo wa nchi hivi sasa unaashiria kutimia kwa maneno hayo ya Nyerere?
Kenya wins round one as AU buys motion
Published on
By Lucianne Limo
The African Union has successfully begun the process of seeking to defer the cases filed at the International...
Wandugu poleni na mchoko wa siku nzima,
Kumbe na sisi tukiamua tunaweza tumeona Tunisia, Misri na kinachofuata...............tuchangia mada hii wandugu,Nasema tena DOWANS tumechokaaaa pesa za...
Salaam kwenu wana Jamvi,
Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekaribia kuanza mwezi february wiki chache zijazo.
hamu yangu kuu ni kuona sura halisi ya spk Anna Makinda katika...
1. Mafisadi Tanzania Wanyongwe - Community | Facebook
2. President Jakaya M. Kikwete MUST Resign - Non-Profit Organization - Founded: January 5th, 2011 | Facebook
3. F'uck Jakaya Kikwete...
Ilikuwa Richmond, sasa Dowans na habari nyeti nilizozipata leo ni kuwa imeshauzwa na itaitwa CPS Energy na deni lao lipo palepale na litalipwa fasta.
A United States-based company, CPS Energy...
Tunaijua ndiyo. Hatuitaji Kamati wala Tume:
Katiba ya sasa inaruhusu polisi kufyatulia risasi za moto na kuuwa raia na "upelelezi unaendelea"
Katiba ya sasa inaruhusu ufisadi kama huu wa...
Kuna taarifa kua wamachinga jijini mwanza wamegoma kugama katikati ya jiji la mwanza ni hivi sasa polisi wana randaranda jijini humo tayari kwa kuwaondoa kwa nguvu endapo wataendelea kugoma...
Nimepitia matokeo ya kidato cha nne na kugundua kwamba robo tatu ya wahitimu katika shule za sekondari za kata zilizojengwa kidhaifu na kuwekwa kidhaifu bila walimu bora, vitabu, na maabara...
Nauliza wadau: Hivi serikali ya CCM ina kitu gani cha kuwapa wanafunzi wanaomaliza shule zaidi ya umachinga? Hawa maelfu ya wanafunzi wa Kidato cha 4 waliofeli, na hata waliofaulu, kitu kikubwa...
WADAU wa kilimo cha pamba nchini wakiwamo wamiliki wa vinu vya kuchambulia wameshitakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Pamba mjini Liverpool, Uingereza, baada ya kushindwa...
WanaJF,
Jana kwenye matangazo ya BBC nilisikia wakisema kuwa gharama za kuhudhuria mkutano wa World Economic Forum huko Davos zinaanzia $71,000 hadi $300,000 (kama sikosei) kwa kichwa.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.