Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ukimya wake sasa wamponza Wabunge CCM wamkoromea SUALA la kampuni ya kufua umeme ya Dowans limemweka Rais Jakaya Kikwete njiapanda, MwanaHALISI limeelezwa. "Sasa anapewa masharti kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wote makini, wanakubaliana ya kuwa rais Kikwete hastahili hata kidogo kutuchagulia jopo la wataalamu wa kuratibu mchakato wa uandikaji wa katiba mpya. Hii inatokana na sababu zifuatazo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tokea mapinduzi ya Tunisia yatokee na sasa yanayo elekea kutokea Misri nimekua nikisoma maoni ya wanaJF mbali mbali ambao baadhi wao (sina uhakika kama ni wengi wao) wana hoji kwa nini hayo haya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna taarifa kua wamachinga jijini mwanza wamegoma kugama katikati ya jiji la mwanza ni hivi sasa polisi wana randaranda jijini humo tayari kwa kuwaondoa kwa nguvu endapo wataendelea kugoma...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Some of the Chinese national residing in Tanzania carry a paper dragon and dance up and down the Mnazi Mmoja Garden in Dar es salaam on Saturday.The event is part of festivities to mark the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa safarini kuja tukuyu,abiria akaniambia segerea wana siku ya pili hawana umeme,nimeingia hapa tukuyu ni giza totoro! Bahati nzuri nna simu ya kitochi.Nadhani nchi imefilisiwa,njiani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Saturday, 29 January 2011 08:33 0diggsdigg Elias Msuya na Fredy Azzah KIKIWA kinatimiza miaka 34 tangu kuzaliwa kwake Februari 5, 1977, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimelezewa kuwa, ingawa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Changamkia tender.........kama una uwezo. Kigamboni hiyo!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemrejeshea cheo cha Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Zitto Kabwe, na kupanga mikakati ya kukabili CCM katika mikoa yote nchini. Uamuzi huo...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Chadema wagoma kuzungumza Na Richard Makore 30th January 2011 Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana ilikutana Jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa nini watumishi wengi wanapoamua kugombea ubunge wanakimbilia ccm tu na si upinzani kama cdm hivi?wanaogopa?kwani sheria inawakataza kugombea upinzani?au kuna tatizo?na je...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani mmeliona mtanzania la leo? hivi rostam ameamua kugeuka au si mmiliki wa gazeti hilo kuanzia leo?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Msijaribu tena ,kilichotokea Arusha kimetoa fundisho ,haswa pale mliposhindwa kuendelza mapambano ,inamaana CCM na serikali yake wamefanikiwa kuwazima na leo hii tumerudi kwenye amani na utulivu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Siku 3 zilizopita nilikuwa na safari kwenda sehemu moja nchini , nilipomweleza rafiki yangu mmoja kuhusu safari hiyo mara moja akaniambia kama naenda nihakikishe sikai mwanza muda mrefu siku hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona kuwa viongozi wengi wa afrika wamekuwa makupe wa madaraka, wakishaonja ikulu tu, inakuwa kama sumu sijui hasari? mimi hata sielewi, tena wengine wanasingizia kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekucha ....
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Nani anaamini kuwa utawala wenye nguvu na kama wa IVORY COAST ...ya Gagbo ...ni historia... utawala wa TUNISIA wa Ben Ali na chama chake Tawala kilichokaa madarakani umeondoka ...sasa ndani ya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakati hoja hiyo ikisugua vichwa vya wabunge, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) imesema serikali haitalitelekeza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) iwapo litaamua kwenda Mahakama Kuu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama ulibahatika kuona mdahalo wa katiba uliorushwa na ITV jumapili utagundua ni viongozi wa aina gani wanaoiongoza ccm na taifa. Hao ndio watawala wa CCM. Pius Mswekwa hawezi kuongea hoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amewashukia watendaji wa ofisi yake kwamba wanahatarisha maisha yake kwa kuvujisha siri za wizara hiyo. Mkulo alitoa kauli hiyo baada ya gazeti hili...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Back
Top Bottom