Waziri mkuu aliachia ngazi kwa kashfa ya richmond nae ameongelea masuala mbalimbali yanayohusu nchi hii.Akiwa monduli katika hafla ya wahitimu wa chuo kimoja cha ufundi mjini humo Mheshimiwa...
Kutokana na kile ambacho kinachotokea Duniani hivi sasa cha wananchi kuandamana na kutaka viongozi wao waliokaa muda mrefu waondoke madarakani imethibitika viongozi hao kutaka kuondolewa kwao ni...
Wale aliodai Membe kwamba wamemkariri ndivyo sivyo na akadai wakiri makosa, je wameshakiri? Sijawasikia bado na wala Membe mwenyewe sijasikia amechukuwa hatua gani. Au wameishiana kiana tu kama...
Yusuph Makamba Katibu mkuu wa CCM amenishangaza.Ilikuwa wakati akihojiwa na waandishi wa habari katika maandalizi ya sherehe za kuzaliwa kwa CCM.Ni pale aliposema eti lengo kuu la CCM ni kushinda...
HUYU MEYA AMESOMA ALAMA ZA NYAKATI AKAONA ANAPWAYA
MEYA wa Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, Samweli Kisabwiti kupitia CCM ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, zikiwa zimepita siku 45 tu tangu...
Ndugu zangu wanaJF,
Nimetafakari sana kauli za hivi karibuni za hawa wanaojiita watoto wa JK, Makamba, Sumae, Mzindakaya, Lowasa, Msekwa etc. wakiongozwa na redio na TV ya propaganda kama Clouds...
Katika hali ambayo mie siielewi ni ile ya mtu mmoja kuwa na madaraka nyeti kana kwamba yeye pekee ndo kaenda shule. Au ndo tuseme serikali inabana matumizi kwa kumneemesha mmoja tu alafu wengine...
Hivi wadau, hii serikali ni ya nani? Ni serikali ya rais (kwa sasa JK) au ni serikali ya watanzania?
Maana kuna speech moja rais anajitetea kuhusu kupitisha barabara kwenye hifadhi ya taifa na...
KILA SIKU,UKIFUNGUA JAMII FORUM UTAKUTANA NA THREAD TUANDAMANE,CHADEMA ANDAENI MAANDAMANO,VYOMBO VYA HABARI HAMASISHENI MAANDAMANO NK
NAFIKIRI NI WAKATI UMEFIKA SASA SISI WENYEWE TULIOMO HUMU...
South Africa part of AU's Ivory Coast panel | News by Country | Reuters
Swali, hivi hii imekaaje?...
Mon Jan 31, 2011 10:54am GMT
ADDIS ABABA Jan 31 (Reuters) - The presidents of South...
Wakuu ninacho jifunza kutoka kaskazini ya Africa ni kama tulivyo wavumilivu sisi watanzania, nao pia walivumilia sana tena wao wanaviongozi ambao ni madictator kuliko tulio nao sisi kwetu africa...
US to give $2m for farm project
Source: The Guardian
By Correspondent - 31st January 2011
Tanzanian President, Jakaya Mrisho Kikwete
The US Administration announced will contribute...
Hivi kwanini Tanzania hakuna utamaduni wa kuwajibika mtu unaposhindwa kazi? Angalia matokeo ya form four: Matokeo ya ajabu sana haya. Division one: 5,363, Divison two: 9,942; Division three...
Hivi wadau, nani anafahamu kwa nini kuna mgao wa umeme sasa hivi? Kama kuna wafanyakazi wa TANESCO humu ndani, tunaomba watusaidie kujibu hili pia.
Je kuna upungufu wa kina cha maji?
Au kuna...
UVCCM kaeni vikao vya chama, mumshauri Raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama chenu, mshaurini atoe elimu bure kwa wananchi wa Tanzania. Kuanzia chekechea mpaka university, mbona kenya na uganda...
Nadhani wasioelewa wanaweza kuongea hisia zao na wasiongee ukweli wa mambo, wakijaribu kuunganisha na maswala mengine hasa yale yanayohusu maisha binafsi.
DOWANS ilikuwa kampuni na ilifanya kazi...
Huu ndiyo ukweli na haihitaji kufanya utafiti wa ndani kujuwa hili kwa Mh.Freeman Mbowe, Mwenyekiti m-babe wa chadema, kiongozi wa upinzani bungeni na mfanyabiashra wa kibepari Tanzania akiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.