Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani Iringa imeifuta kesi ya kutoa rushwa iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 35, Joseph Mungai. Hakimu Mary Senapee wa Mahakama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau,nilipata kumsikia Mgaya akisema kesho watakua na maandamano ya kupinga mfumuko wa bei,vipi yatakuwepo au longolongo tu?? Namaanisha tarehe 29 wadau...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mawaziri wa mikopo katika serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu jana waliitisha kikao na kuutaka umoja wa vijana wa ccm kuacha kuingilia utendaji wa bodi ya mikopo na kutoa ushauri usio...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wale wanaoshuhudia mapinduzi yanayoendelea pale Egypt watakubaliana na mchanganuo ninaokwenda kuuelezea hapa chini. Kwa kifupi matukio yanayoendelea nchini Misri yanaonyesha kuwa Tanzania na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi tumesikia kama kawaida Africa Union imejaa wezi wa kura na viongozi wanaongoza wananchi wao kwa kutumia nguvu. Nchi karibu asilimia 90 hakuna Katiba zinazo tetea Freedom of Speech wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maisha ni safari. Ni safari ambayo kila mmoja wetu kwa njia moja au nyingine anaacha alama yake. Najaribu kuwalinganisha hawa viongozi watatu kwa kuangalia safari zao za maisha. Najaribu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanaJF na watanzania kwa ujumla, Wakati wote nimekuwa nikitafakari kuhusu madhara ya kuilipa kampuni ya kitapeli ya Dowans kwa fedha zetu sisi wananchi maskini. Mwanzoni, nilijipa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo mchana huu wa taarifa ya saba mchana kituo chetu cha TV cha TBC1 kimedai kwa makosa ya kuwa Raisi wa Marekani aliuagiza uongozi wa serikali ya Misri uunde serikali ya umoja utakaowashirikisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jacques Chirac, rais mstaafu wa Ufaransa anakabiliwa na kesi ya wizi alipokuwa meya wa Paris. Kwetu tunashindwa kumshtaki rais kwa makosa aliyofanya akiwa waziri....... The former president is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wpendwa wenzangu kwanza nawapa pole kwa yaliowakuta wikiend na kuchoshana kwa vijiharusi visivyoisha nk... Hakika najaribu kufikiria yanayotokea kwenye nchi hizo hapo juu jana nikiwa usingizin...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu BAADA ya kung'olewa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando amekumbwa na msukosuko mwingine kutokana na baadhi ya wanachama wa Chama cha Maendeleo Muheza (MDTF) kutaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wanaoijua story ya Yuda iskariote watakuwa wameanza ku-predict nini ninachotaka kukisema hapa. Jina la Salum Ally ni jipya kwa watu wengi nchini lakini ni jina maarufu sana miongoni mwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
As news and grand graft allegations unfold pretty fast from all corners of Tanzania, certainly it seems almost impossible for Kikwete to control/govern Tanzania. This indeed brings us to an...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Dakika chache zijazo tutaibadilisha JF mwonekano, bado kuna vitu vichache vya kumalizia ambavyo tutaviweka w/end hii... Sasa basi, tungependa kupata maoni yenu juu ya nini mnaona kinafaa...
0 Reactions
198 Replies
14K Views
Jamani leo hii pinda kwa kivuli cha wabunge pamoja na AG amewaita baadhi ya viongozi wa TANESCO pale blue pearl na kuwaambia waanze kuilipa DOWANS.Huyu Pinda ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dear friends, Mzigo huu hapa.. YouTube - ZEITGEIST: MOVING FORWARD
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau, nimeipata BBC SWAHILI, JK kapata tena ujiko, yu ndani ya jopo ya marais watano wapatanishe Ivory Coast! Nawasilisha Jamvini...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna vurugu Tunisia, Kuna vurugu Egypt, tuombe vurugu zifike Tanzania maana nionayo siyo ya kawaida Afrika. Huko kote kwenye vurugu tungekwisha ona maiti nyingi barabarani lakini kuna nini mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom