Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu taarifa za uhakika ni kwamba tangu wiki iliyopita watu kadhaa wametiwa mbaroni katika idara za serikali na watu binafsi kwa kosa la kusambaza picha inayoonyesha kiwilili cha kike lakini...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nampa ushauri wa bure Waziri wa Ujenzi za kuondoa kero ya foleni Dar es Salaam. Kujenga barabara kila kona sio suluhisho la kudumu, kila siku watu wanaongezeka na kuingia Dar es Salaam. Kifuatacho...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mgaya wa TUCTA ameandaa ya kwake na hataki wanasiasa waingilie anadai wasije kuingiza mambo ya siasa kupitia wao na maandamano yake yanashonewa sare kabisa wakati wanaoteseka ni wananchi wengi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani dingi wenu ndo keshawasili hivyo, misafara kuelekea magogoni ndo unapita. Haya nini shida?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAULIZA CHEO CHAKE KWANI MAMBO YOTE MABOVU ANAYAFANYA YEYE HII NI PAMOJA NA KUGOMBANISHA WATU,KUDHULUMU,KUMUUNGANISHA KIKWETE NA WAGANGA,NA MENGINE KIBAO. SASA TUAMBIWE KAMA SERIKALI YETU...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mnasemaje wanaharakati wenzangu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau,kitu ambacho kila siku najiuliza bila kupata majibu ni kazi ya CDA,yaani hawa watu hakuna chochote wanachokifanya labda hawajui maana ya USTAWIASHAJI,hebu angalia:1.Stendi kuu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa wakimtuhumu sana Rostam Aziz kwa hujuma mbali mbali kwa nchi yetu. ukichunguza kwa undani, katika hujuma zote hizo zinazoelekezwa kwa R.A na CCM ina mkono wake humo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Machinga Complex haina watu, Shule za Kata Hazina wanafunzi, Mahospitalini, hatuna madawa, Madaktari hawatoshi, umeme full mgawo, yaani wasipokata tunashangaa,matokeo ya kidato cha nne shule za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naangalia aljazeera live. Wamisri bado wanazidi kuhamasika na maandamano. Inasadikika wanakaribia milioni moja kwenye viwanja vya tahrir. Madai yao ni kwamba wanataka mubarak angatuke na pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hbr za kuaminika,ni kwamba bodi ya mikopo imetolewa kafara,na inavunjwa!plus,DOWANS,haitalipwa!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hi! Wana jf najaribu kutafakari na kujiuliza sipati majibu.nimezoe kila ifikapo mwisho wa mwezi jk anakawaida ya kuhutubia taifa.hotuba ambayo mara nyingi hujibu maswali ambayo wananchi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Viongozi hupingana hadharani 2. Watu hukata tamaa na kuwa tayari kufanya lolote 3. Wasomi na wafanyakazi hujipambanua wazi kukipinga chama au serikali 4. Tofauti kubwa ya kipato kati ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana kuona Zakia Meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale BOT kupitia Kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Ndugu wana JF. Umachinga ambao serikali yetu imekuwa ikiutukuza ni bomu kubwa na linalosubiri kulipuka. Kwenye kampeni yake ya urais Dr. Dr. Dr. Kikwete alitangaza kuwa atajenga machinga complex...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila leo nasikia UVCCM wakisema wanataka viongozi wa serikali wafocus na kazi na wanataka CCM isije ikawa chama cha upinzani. Hivi UVCCM ni chama kingine cha siasa? Hili si Tawi la CCM/TANU? Mbona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hoseah abanwa kuhusu Dowans Send to a friend Monday, 31 January 2011 20:25 0diggsdigg Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah Ramadhan Semtawa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mama Maria: Kuilipa Dowans tatizo kubwa * Ataka CCM, wanachama watafakari kabla ya kulipa Na Daud Magesa, Butiama Majira MJANE wa Hayati Baba wa Taifa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ilikuwa ni siku ya tarehe 31/01/2011 ndani ya manispaa ya kinondoni katika kikao cha kamati ya fedha kinachoshirikisha wabunge wote na baadhi ya madiwani....... wakati wanakamati wakipitia taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbona sisi hatupo Mnazi Mmoja? Ilhali wenzetu wapo Tahrir?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom