Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wameshindwa ku-manage ipasavyo website sasa wamekuja na hii...sijui nchi ni sawa kutokuwa na website madhbut na kuwa na blogu badala yake?...mimi naona ni kama ya Salva tu...... Ikulu Mawasiliano
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Al Jazeera English Blacked Out Across Most Of U.S.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali inayoonyesha kujihami zaidi na kutegemea nguvu za dola serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha masilahi ya Askari Jeshi huku watumishi wengine na wananchi wakiwa hoi.Inaelezwa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hakielimu: Siasa zimeathiri matokeo kidato cha nne Saturday, 29 January 2011 08:55 0diggsdigg Mkurugenzi wa Shirika la Haki Elimu, Elizabeth Missokia akizungumza katika mkutano na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana nilikuwa ofisini kwangu, mara akaja mzee mmoja maarufu sana na alishawahi kugombea ubunge jimboni kwake akapigwa chini… typically huyu mzee ni mwanachama mtiifu wa CCM, nisiendelee sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF, Katika kupitia sera za Chadema wakati wa uchaguzi mkuu mojawapo ilikuwa kutoa elimu bure kuanzia awali hadi high school na sera hiyo ilikuwa mwiba mchungu kwa wana ccm, Hivyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, "UNAPOTAKA kusema, tumia yako hekima. Neno liwe la heshima. "- Remmy Ongala. Naam. 'Chumvi '. Nataka kusema kuhusu chumvi. Chumvi ni maisha, chumvi ni siasa. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema...
0 Reactions
160 Replies
13K Views
Chama cha Mapinduzi huwa kina mteuwa mgombea wao wa uraisi mnamo mwezi wa tano wa mwaka wa uchaguzi. Vyama vingine havi teuwi mgombea na mgombea mwenza wao mpaka kwenye mwezi wa nane au wa tisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfuko wa surali ya Rostam Aziz ni mkubwa sana kiasi cha kuweza kuiweka serikali ya ccm na cc yake mfukoni. Lakini, Samweli Sitta na Mwakyembe ni wanene sanakiasi kwamba wameshindwa kuwekwa ndani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo Musoma Mjini kuna Gari linatembea likipiga Muziki ya TOT na kuwatangazia watu kuwa Kesho Mchana Spika Mstaafu Bw. Msekwa atautubia wakazi wa Musoma na Vitongoji vyake juu ya hali mstakhabali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nachangazwa na Chadema kufanya hasira na chama cha Cuf kwaa jili wameunda Serekali ya kitaifa Zanzibar, Jee walipokuwa Wzanzibar wakisagwa na Jeshi la Tanganyika lililoko Zanzibar Chadema...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Serikali ilitangaza kubinafsishwa kwa kiwanda cha nyuzi Tabora miaka kadhaa iliyopita, na kweli wakaja Wahindi ambao walionekana pale wakiendesha shughuli za uzalishaji. Kiwanda hiki kiliendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A special envoy dispatched to Egypt by President Barack Obama told Egyptian President that the U.S. saw his presidency at an end and urged him not to seek another term in office while preparing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaelewa na ipo katika katiba ya nchi kwamba kazi za Wabunge na Bunge ni KUTUNGA SHERIA na KUISIMAMIA SERIKALI, kifupi ni kuwakilisha wapiga kura wake bungeni, pale ambapo serikali inagawa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtifuano kati ya serikali na nguvu ya umma umezidi kupamba moto. Nani atahibuka kidedea? Source: Dowans vita mpya
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Ni kipindi cha maoni yako, wanatoa kilio cha matokeo mabovu ya form four Source: http://www.radiomaria.org/media/start.asp?SOURCE=tanzania&TITLE=tanzania
0 Reactions
0 Replies
2K Views
:peace:WAPIGANAJI KATIKA VYUO.MIGOMO NA MAANDAMANO PEKEE NDIYO SULUISHO.TUKIMALIZA SEHEMU MOJA TUNAKWENDA NYINGINE. SASA RUSHA RATIBA NA HAKUNA KUKATAA MIGOMO.HATA HUU WA WATOTO WA MAFISADI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom