Ni jambo la kawaida kwa mtu mzalendo kufikiria hatma ya nchi yake.Chama cha mapinduzi kimeiongoza Tanzania kwa takribani miaka hamsini sasa ukikaa na kutafakari juu ya sera zake na utekelezaji...
Nikitumia maneno yangu nitaonekana mwenye chuki. Haya ni maneno ya January mwenyewe akiongea na viombo vya habari. Hebu niambieni huyu dogo katoa hela wapi??? Mshahara hata bado hajapewa. alikuwa...
Matokeo ya MITIHANI kidato cha nne yamezua tafrani kubwa ,kinachonishangaza mm ni mshangao wa watu kuhusu matokeo hayo !Ni mshangao kwa sababu kila anayefanya uchunguzi kidogo tu angetarajia hali...
Hongera Mwanakijiji kwa uzalendo wako.
Mimi nitapenda kuongeza swali moja kwenye yale ya kwako uliyomuuliza Rustam :Maswali tisa kwa Rostam Aziz kuhusu Dowans
Swali langu ni kuwa je Brig. Jen...
Leo Mwanahalisi limekuja na habari "Hujuma dhidi ya CDM nje". Limekuja na taarifa kuwa kuna Mradi wa vyama vitatu vya upinzani unaolenga kupunguza nguvu ya Chadema bungeni. Kwamba aliyekuwa...
Source TBC1. Jana.
Wakati wakiwa wanapauka viwanja vya Biafra.
Kwa mbwembwe walionesha kutembea kwa kile kilichoitwa kikakamavu.
Ni propaganda? Provocation?
Ndugu wana JF,
Mwaka 2006 niliwahi kusikia Mh Rais, JK akitoa hotuba kwa Watanzania akilizunmzia sakata la Richmond. Alieleza kinagaubaga Richmond ni nini, na ni kwa nini walishindwa kuzalisha...
NIMEKUWA NIKIJIULIZA MARA NYINGI KAMA KUNA SABABU KILA SEHEMU WAZIR AU KIONGOZI ANAPOFANYA KAZI KUONGOZANA NA WANAHABARI ,HII INASAIDIA TAIFA AU MBWEMBWE TU ZA KUTAKA UMAARUFU.
Kuna watu kama...
Another day another un popular opinion in JF.
CHADEMA or Dr. SLAA are not the best alternative. I think it's time that we left this poor, flawed man to ride off into the sunset of...
Ndugu wana Jf najiuliza hivi hii serikali yetu ya ccm ina tatizo gani?
najiuliza hili swali kutokana na mambo mengi yanayoendelea katika nchii yetu inayomilikiwa na serikali ya ccm
kwani...
NAzidi kujiuliza maswali kuhusu mustakabali wa nchi yangu Tanzania. Lakini kila nikiliangalia baraza la mawaziri nazidi kukata tamaa. Hawa ni baadhi ya wahusika wanaotakiwa kutupeleka kwenye...
Kwa wale ndugu zangu ambao wanafuatilia kwa karibu ile kesi ya Mpendazoe dhidi ya mahanga, ni kuwa kesi sasa imepangiwa jaji ambaye atakuwa Prof. Ibrahim Juma. Kinachosubiliwa kwa sasa ni...
Asalaam Aleykum,
Nadhani wote tunafuatilia jinsi People's Power kule Misri inavyofanikiwa sasa kuangusha utawala dhalimu wa Hosni Mubarak. Hii ni fundisho kwetu Tanzania na kwingineko kuwa nguvu...
Huwa najiuliza sana kuhusiana na hawa mafisadi papa hadi mafisadi dagaa.
Hivi ni kwanini hawatosheki? tatizo ni nini hasa? Maana utakuta mtu kahusika
kwenye wizi wa Epa,meremeta,kiwira,mradi wa...
Naomba mtu amwakilishie barua hii raisi wetu kabla ya kuja Abidjan kwa Gbagbo. Dhumuni, Gbagbo asije akamtoa nishai Mheshimiwa Kikwete kama vile alivyosumbuliwa bure Raila Odinga.
LINK: Open...
Nimekuwa nikisikiliza nukuu mbali mbali za wanasiasa na wanaharakati wenye kiu ya kutaka mabadiliko ya kisiasa, utawala na uchumi. Wengi wanapenda kutumia maneno "tutaendelea kupiga kelele mpaka...
*Wamshangaa ameteuliwa na nani
Na Benjamin Masese,Temeke
MBUNGE wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu jana alijikuta na wakati mugumu kwa kuzomewa na wananchi wake wakidai sio chaguo lao bali ni...
Ndugu zangu wana JF mtu akifanya kazi nzuri anastahili pongezi. Tena ikiwa kazi ya utaalam anapewa award. Hili gazeti la mwana halisi linafanya kazi nzuri kabisa,hata kama ni biashara, maana...
Namekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari na hii ni mara ya pili katika kipindi kisicho pungua mwaka mmoja nimesikia Tanzania ikitunukiwa TUZO kwenye nyanja za ELIMU na AFYA,kwa kweli...
1: Kwa mara ya kwanza Serikali Kivuli ya CDM bungeni kuzinduliwa!!
2: Masakata ya kutikisa bunge:-
(a) Dowans; (b) Katiba Mpya; (c) Tume Huru ya Kuchunguza Matokeo ya 31.10.2010; (d)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.